Msami: Hakuna ubaya mimi kutoka kimapenzi na Kajala

Acha waendelee kusambaza umeme wa gridi ya Taifa...inaitwa kupokezana vijiti
 
Vibibi vya Bongo Movie vinajidogolesha kweli!!Maana hata manyonyo vinayapiga jeki ya kufa mtu
 
Wasanii watanzania bwana wanaendekeza ngono na starehe nyingine, halafu wakipata matatizo utasikia wanarudi kwetu kutuomba msaada tena, eg. ( Ray C, Chidi. etc, siwalaumu lakini)
 
Hivi yule binti yake si atakua ashaanza kuvaa pedi?
Mbn hawajiheshimu hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…