Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
Kajala huwa ni mzuri asipojilemba......ana mgongo mtamu sana huyu mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUYU KAJALA SI MAMA MTU MZIMA SASA AU KWA SABABU ANAJIPODOA WATU WANAZANI NI BINTI?![]()
Msanii Msami ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake wa ‘Mabawa’ amefunguka na kusema kuwa yeye ni mwanaume na Kajala ni mwanamke hivyo kwa kile ambacho kinazungumzwa na watu kuwa huenda anatoka naye kimapenzi
‘Si jambo baya kwani Kajala ni mtoto wa kike na yeye ni mwanaume hivyo chochote kinaweza kutokea kati yao’.
Msami alisema hayo kupitia kipindi cha eNEWS na kudai kuwa maneno yanazungumzwa juu yake na Kajala huenda yapo na kama hayapo labda yanaweza kuja kutokea, ila anadai yeye na Kajala ni washikaji, ambao wamekuwa wakishirikiana na kusaidia mambo mengi.