Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Kwetu mtu anayecheka bila sababu ya msingi tunamchukulia ana vitu viwili

1 Uchizi unamuanza
2 Ana nyege

Sasa sijui ww upo kundi gani?
 
Aisee!

Uzi wa mtu anaekaa kwa shemeji yake utauona tu!

Na mods wataushughulikia sasa hivi tu
Hahahaaaa!!! Tulia iingie vizuri,au kunywa acid ufe,mulizoea kuishi kwa uchawa,sasa katafuteni kazi nyokle nyie
 
ukweli usemwe, ukabila ulikuwa unaota taratibu. unatakiwa ufe na mtu wa kabila lolote akitawala halafu akaendekeza ukabila watz tusiwachague tena hao watu.
 
Kwetu mtu anayecheka bila sababu ya msingi tunamchukulia ana vitu viwili

1 Uchizi unamuanza
2 Ana nyege

Sasa sijui ww upo kundi gani?
Hajui naye ameleta ukabila kwenye uzi wake binafsi sijapenda uzi huu 😕😕😕
 
Aisee!

Uzi wa mtu anaekaa kwa shemeji yake utauona tu!

Na mods wataushughulikia sasa hivi tu
Nasubiri huyo Kakobe wako aanze chokochoko zake. Mama hategemei kiki za kilokole
 
Chato gang members utawajua tu
Mkuu sijaona why mnaleta ukabila kwenye maendeleo ya nchi hv tukianza in details nyinyi mna tatizo na watu wa kanda ya ziwa au nlikuwa na Matatizo na JPM tatizo wivu umewajaa na kama mkiendelea hv mjue tunapokwenda kama nchi ni pagumu sana tena sana je makabila madogo yamejiandaaa na kinachokuja

Maneno yenu hayawezi kuwatetemesha watu wa kanda ya ziwa hata kidogo kwani ni wachapa kazi si wavivu wanaosubr kuletewa.
 
asiyemsapoti mama atakuwa ni mchawi tu. kwa hotuba ya leo hii hatutegemei genge lolote liibuke. uzuri ni kwamba, wajingawajinga wa magenge tumeshawafahamu na hatutakuja kukubali kuwapa nchi watu wanaounda magenge tena.
Hakuna magenge tena tunajenga nyumba moja.
 
Ndiyo tumeamka sasa,si mmeona moto wetu ulivyo hadi mkaanza kupiga yowe,na sasa haturudi nyuma kamwe.
Ndio unamka Léo? Wenzako washaamka miaka 40 iliyopita sasa utajifananisha não? Akili zenu zipo level ya kupanda fisi tu[emoji3]
 
Acha kutisha watu we mchunga mbuzi, yaani nyie na wachaga ni mbingu na ardhi endeleeni kuchunga mbuzi kwanza
 
Mkuu umenikumbusha miaka kama ya 2002-2006 ilikuaga mtu akivaa yebo yebo ni kutania hata kama haumjui watu wanacheka sana aisee hahaha
 
Ndio unamka Léo? Wenzako washaamka miaka 40 iliyopita sasa utajifananisha não? Akili zenu zipo level ya kupanda fisi tu[emoji3]

Yes tumeamka leo lakini tulichokifanya Kanda ya Ziwa kwa miaka 5 tu ni mara kumi ya mlichofanya miaka 40 iliyopita. Njoo Kanda ya Ziwa upate kushangaa kidogo, na bado kaeni kwa kutulia kabisa.Sisi akili yetu tunaitumia kujipatia kipato halali na “kupanda fisi basi”.Hatujawahi kubeba silaha kwenda kuvamia na kumwaga damu za watu ili tupate pesa kama nyinyi mliokubuhu katika kazi hiyo[emoji6][emoji2223]
 
[emoji16][emoji16]Mayaanda ga'mjini galuhile'noo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…