Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Achana na wajinga wakubwa hawa..shikilia neno kwamba SUKUMA tunafika Milion 10 ktk empire yetu,achilia watakaokua pamoja nasi kama waKerewe,waZinza,waKala,waJita,waSumbwa na yamkini mpaka ukanda wa waHaya.

Kuchokoza Empire hii ni mbaya,mikoa yote mi5 ya waSukuma haijawahi kua na shida yoyote na madaraka ya serikali zaidi ya Ardhi ya kilimo na ufugaji pekee,hivyo basi kinacho endelea ni sawa na kuingiza mkono shimoni ukidhani kuna senene utoe ukakaange ule na kumbe kuna nyoka hatari mwenye sumu

Sukumaland ikiamua kuyataka madaraka itaongiza milele au itawapa wengine lakini empire hiyo itamuongoza huyo atakaye kua anaongoza

South Africa,serikali kwa siri haiwezi kufanya maamuzi mengi bila kumuita yule mfalme wa kabila la Zulu aliyefariki majuzi hapa na mkewe kupewa madaraka ya kuiongoza kabila hilo kubwa lenye watu zaidi ya milion 11. kama uonavyo serikali yetu huwaita viongozi wa dini ndivyo Kusini kule hushirikisha kabila kubwa ili kutowachokoza na kuwaathiri kwa namna moja au nyingine
Idadi ya nyumbu haiwawezeshi kuwa viongozi wa mbuga. Kufafanisha Wazulu wa Afrika Kusuni na Wasukuma kwa Tanzania ni matumizi mabaya ya akili, Wazulu wana historia kubwa katika mapambano ya uhuru wa nchi yao, na hapa ndipo walipojijengea heshma yao. Kwa Tanzania Wasukuma zaidi ya kuuzwa kama mafungu ya nyanya hawana historia muhimu katika ukombozi wa hii nchi, ni aheri hata Wanyamwezi waongee kwani tunakumbuka vyema akina Isike na Mirambo.
Wasukuma walio wengi wako fair, ila utawala uliopita ulifanya wasukuma waeleweke vibaya. Upendeleo ulikuwa wa wazi wazi kabisa, na hili linawahusu Wasukuma na siyo Kanda ya ziwa yote, Wahaya nao ni kama waliwekwa pembeni pia.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wao hasa wa Kaskazini siku zote waliamini kuwa wao ndiyo wana haki ya kila kitu,Wasukuma hawajawahi hata kulalamika enzi hizo wameshika kila mahali anzia Wizara ya Fedha,TRA ,Wizara zote nyeti,amekuja kutawala Msukuma tu makelele kama yote. Huwa nacheka sana pana Pro Chadema mmoja alifikia hatua anataka Daraja la Busisi lisijengwe lakini huyo huyo nilimuuliza mbona la Mto Wami husemi lisijengwe, alipita ile post yangu kimya kimya.Nakubaliana na Wewe kwa Sasa We no longer a Sleeping Giant,we know what we want na tutakipata vizuri tu.
Hiyo imeisha, makosa hayatajirudia tena katika kizazi hiki.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sijaona why mnaleta ukabila kwenye maendeleo ya nchi hv tukianza in details nyinyi mna tatizo na watu wa kanda ya ziwa au nlikuwa na Matatizo na JPM tatizo wivu umewajaa na kama mkiendelea hv mjue tunapokwenda kama nchi ni pagumu sana tena sana je makabila madogo yamejiandaaa na kinachokuja

Maneno yenu hayawezi kuwatetemesha watu wa kanda ya ziwa hata kidogo kwani ni wachapa kazi si wavivu wanaosubr kuletewa.
Hoja ni wasukuma na si Kanda ya Ziwa.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi neno hili naona linaweza leta matatizo ya kijamii kama ambavyo maneno Intarahamwe, facism, na mengine ya namna hiyo yalivyopelekea matatizo kwenye jamii.
Asante sana kwa kuliona hilo.
 
Yes tumeamka leo lakini tulichokifanya Kanda ya Ziwa kwa miaka 5 tu ni mara kumi ya mlichofanya miaka 40 iliyopita. Njoo Kanda ya Ziwa upate kushangaa kidogo, na bado kaeni kwa kutulia kabisa.Sisi akili yetu tunaitumia kujipatia kipato halali na “kupanda fisi basi”.Hatujawahi kubeba silaha kwenda kuvamia na kumwaga damu za watu ili tupate pesa kama nyinyi mliokubuhu katika kazi hiyo[emoji6][emoji2223]
Kipi kipya Kanda ya ziwa mkuu? Umaskini? Nyumba za nyasi? Ninyi Kanda ya ziwa ndio mnamwaga damu za watu Sana rejea kuua vikongwe wenye macho mekundu, Albino, na IMITUNGA
 
Unahama lengo la nilichosema,ukiwa mpumbavu jitambue na ufiche upumbavu wako maana ni aibu kwako
Nikuwekee ripoti hapa? Wingi wenu hauna tija mimba za utotoni lake zone, umaskini lake zone,nyumba za nyasi lake zone WINGI SII HOJA waswahili walishanena
 
Wafuasi wa siasa za chuki na visasi naomba muache mala moja kutukana watu.

Kuna wasukuma hawausiki kabisa kwa utawala uliopita kwa namna yeyote ile

Mimi bahati nzuri nyumbani ni Arusha ila toka nazaliwa limekulia mwanza na kusoma kanda ya ziwa.

Kama mwanza tabora na Mara kiukweli watu wa uko ni wakarimu sana na wana upendo.

Pia nilizunguka na baadhi ya misafara ya kampeni ya Tundu lissu na nilijionea watu wa Geita, Mwanza, Kagera Mara na simiyu walivyokuwa tayari kwa mabadiliko.

Kuna sehemu hatukutaka kupita kabisa lakini tulikuwa tukisimamishwa na maelfu ya watu wakifunga Barabara na walikuwa muda wote wa hotuba za Tundu Lissu walikuwa wakishangilia.

Walionyesha upendo nakumbuka sehemu kama Katoro ambapo ni karibia kabisa na chato tulipokelewa kwa mapokezi ya kihistoria watu zaidi ya elf 50.

Nataka kutoa angalizo hata wasukuma waliumizwa na utawala wa Magufuli ila walinyamaza tu

Natoa mfano kwenye uvuvi ziwa Victoria watu walikuwa wakiuwawa kutekwa na kuchomewa nyavu ni 90% wasukuma.

Tuache kuliusisha kabila na mambo ya kipuuzi

Magufuli kaenda na kashalala tuache chuki marehemu atasemwa lakini hana haki ya kujitetea hii sio sawa.

Naomba hili jina life na mnaolitumia litakuja kuwagarimu kwenye uchaguzi 2025.

Mimi kiufupi nalichukia hili jina kiukweli kwa maana nawajua marafiki zangu wengi wasukuma na walikuwa serikalini walikuwa hawataki kusikia chochote kuhusu utawala wa Magufuli.

Mimi nimeacha siasa za chuki na nitahubiri upendo na amani na nitakosoa pale inapobidi tuache siasa uchwara za uvyama na ukabila.
 
Hilo neno lilitoholewa toka twitter, likapata airtime ya kutosha jf, sasa linafahamika Tanzania nzima.

Japo umesema wapo wasukuma waliopata maumivu enzi za mwendazake hasa wavuvi, lakini pia wengi wao walipendelewa sana.

Kama wale waliojenga kwenye hifadhi ya uwanja wa ndege walipotaka kuvunjiwa akasema wasivunjiwe coz walimpigia kura, kama vile hakupigiwa kura toka sehemu nyingine yoyote Tanzania isipokuwa Mwanza pekee.
 
Asante kwa kukubali kuwa Magufuli alitesa watu na alipendelea kanda ya ziwa hasa Mwanza na Geita usiseme Chato. Pia wasukuma wengi sana walipewa nafasi za uongozi na upendeleo kila mahali na makabila mengine walitajwa vibaya na kuchukiwa hadharani na Magufuli mwenyewe.

Haya sasa ndio matokeo ya kuchagua incompetent leaders in Africa na hili jambo linatugharimu sana.
 
Kuna mgawanyiko gani mkubwa zaidi ya ule wa kiongozi mkubwa alipopanda jukwaani na kusema waziwazi “msiponichagulia mbunge na diwani kutoka ccm hamtakaa muyaone maendeleo”?

Na tushukuru aliondoka mapema,angekaa kidogo hali ingekuwa mbaya zaidi yaani hata kwenye hotuba zake nyingi zile za kustukiza alikuwa lazima ajeruhi watu kama siku moja Mbezi mwisho wamama wanalalamika wamedhulumiana kwenye vicoba vyao huko aliposikia mkimbia na hela ni mchagha hapo hapo akachombeza na chuki tena akijumuisha kabila lote akisema “na ninyi hawa Wachagha siyo wa kuwaamini oneni sasa”
 
Pole mkuu,
Ila kaa ukijua tunaposema MbagalaUswahilini haina maana Mbagala yote uswahilini, kunasehemu nyingine ushuani,kama Mgeninani,Twangoma,kijichi n.k.
Sisapoti hiyo kitu ila ulicho kipanda ndicho utakacho kivuna
 
Muasisi wa msamiati wa SUKUMA GANG ni Kigogo.

Na kibaya zaidi hafahamiki na wala nia yake haijulikani ni ipi ?

Wakati wa Magufuli alisema alibomolewa nyumba Kimara.

Sasa hivi haijulikani anapambania nini na kutoka kwa nani, kila mtu anaweza kushambuliwa kwa wakati wake.

Mpaka sasa ameshawashambulia watu kama:
-Mbowe ( sasa hivi anamuunga mkono )
  • Zitto
  • Magufuli.
  • Samia
  • Mpango
  • Dotto James
  • Maxence Melo
  • Ontario
  • Nikki wa Pili
  • Kikwete
  • Carol Ndosi n.k

Na cha kuhuzunisha huyu mtu anaonekana ameingia moyoni kwenye nyoyo za makamanda wa CHADEMA hadi viongozi wakubwa.

Wakati Lissu anafanyiwa mahojiano na VOA alisema yule body guard mweusi wa Magu akifariki kwa COVID-19 jambo ambalo halikuwa kweli. Lissu alisema kwasababu Kigogo alisema.

Hata hizi tuhuma za Mbowe kuhusu wachagga na ajira zimeanzishwa na kigogo. Ingawa Kigogo mwenyewe haamini wachagga kama alivyokuwa Magufuli, na hili alilionesha wazi wakati watu wanapendekeza Kimei awe waziri wa fedha.

Yaani sasa hivi Kigogo amekuwa kama ndio mwenyekiti wa CHADEMA. Fikra zake ndio zinaendesha chama.

Kama CHADEMA hawatakaa chini, na kuamua kuwa wao kama chama hali inaweza kuharibika zaidi na mwisho wa siku wanufaika watakuwa CCM.

CHADEMA iachane na wasukuma. Mnaweza kudeal na Magufuli bila kuhusisha wasukuma.

Mimi nitawatetea wasukuma mpaka mpaka mwisho, kama ni chuki basi itakuwa ilikuwa ni kwasababu walikuwa wahanga wa propaganda za Magu.

Mwanza, Shinyanga, Mara ni mikoa ambayo imekuwa ikiipokea CHADEMA na kuipa ushirikiano mkubwa kwa kupata viti vingi vya ubunge, ingawa VITI MAALUM huwa wanapewa wachagga tu.
 
Back
Top Bottom