permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Idadi ya nyumbu haiwawezeshi kuwa viongozi wa mbuga. Kufafanisha Wazulu wa Afrika Kusuni na Wasukuma kwa Tanzania ni matumizi mabaya ya akili, Wazulu wana historia kubwa katika mapambano ya uhuru wa nchi yao, na hapa ndipo walipojijengea heshma yao. Kwa Tanzania Wasukuma zaidi ya kuuzwa kama mafungu ya nyanya hawana historia muhimu katika ukombozi wa hii nchi, ni aheri hata Wanyamwezi waongee kwani tunakumbuka vyema akina Isike na Mirambo.Achana na wajinga wakubwa hawa..shikilia neno kwamba SUKUMA tunafika Milion 10 ktk empire yetu,achilia watakaokua pamoja nasi kama waKerewe,waZinza,waKala,waJita,waSumbwa na yamkini mpaka ukanda wa waHaya.
Kuchokoza Empire hii ni mbaya,mikoa yote mi5 ya waSukuma haijawahi kua na shida yoyote na madaraka ya serikali zaidi ya Ardhi ya kilimo na ufugaji pekee,hivyo basi kinacho endelea ni sawa na kuingiza mkono shimoni ukidhani kuna senene utoe ukakaange ule na kumbe kuna nyoka hatari mwenye sumu
Sukumaland ikiamua kuyataka madaraka itaongiza milele au itawapa wengine lakini empire hiyo itamuongoza huyo atakaye kua anaongoza
South Africa,serikali kwa siri haiwezi kufanya maamuzi mengi bila kumuita yule mfalme wa kabila la Zulu aliyefariki majuzi hapa na mkewe kupewa madaraka ya kuiongoza kabila hilo kubwa lenye watu zaidi ya milion 11. kama uonavyo serikali yetu huwaita viongozi wa dini ndivyo Kusini kule hushirikisha kabila kubwa ili kutowachokoza na kuwaathiri kwa namna moja au nyingine
Wasukuma walio wengi wako fair, ila utawala uliopita ulifanya wasukuma waeleweke vibaya. Upendeleo ulikuwa wa wazi wazi kabisa, na hili linawahusu Wasukuma na siyo Kanda ya ziwa yote, Wahaya nao ni kama waliwekwa pembeni pia.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app