Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Subiri 2025 uone mtakachofanyiwaAkili zao zinatosha tu kupiga kura, warudi kuchunga Ng'ombe sio kuongoza nchi
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri 2025 uone mtakachofanyiwaAkili zao zinatosha tu kupiga kura, warudi kuchunga Ng'ombe sio kuongoza nchi
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Gang=gengeSukuma gang ndio nini kwani kwa tafsiri rasmi?
Hata ukiwachukia wasukuma huna cha kuwafanya your are almost nothing mbele ya macho yao ndiyo maana wanaishia kukupuuza tu.Hilo neno lilitoholewa toka twitter, likapata airtime ya kutosha jf, sasa linafahamika Tanzania nzima.
Japo umesema wapo wasukuma waliopata maumivu enzi za mwendazake hasa wavuvi, lakini pia wengi wao walipendelewa sana.
Kama wale waliojenga kwenye hifadhi ya uwanja wa ndege walipotaka kuvunjiwa akasema wasivunjiwe coz walimpigia kura, kama vile hakupigiwa kura toka sehemu nyingine yoyote Tanzania isipokuwa Mwanza pekee.
2020 tumemstaafisha mwenyekiti wenuuu saa hz anarusha rusha miguu ngoja mama ammalizie hafu unawadharau vipi watu wanaopenda vinono tatizo la makabila ya wachaga walifikiri wao ndio wangesoma pekee yao lkn ndugu mambo yanabadilika wasukuma wameshikilia nchi saa hz wamejaa kila pahala kimsingi wanajitambua hawaburuziki tena kwa sasa ni matajiri, wasomi, viongozi wakubwa, wafugaji matajiri wa madini na samaki unadhani leo Tanzania tungejitenga huoni kwamba wasukuma ndio wangekuwa matajiri zaidi yaani wewe tuna dhahabu almasi maziwa aardhi yenye rutuba nkAkili zao zinatosha tu kupiga kura, warudi kuchunga Ng'ombe sio kuongoza nchi
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Nini hiyo gang!?2025 hili neno litawacost sana, tukumbuke wale jamaa ni wengi mno
Mmechelewa kujitetea ngoja Sukuma Gang iwaonyeshe kazi 2025 kwa hakika tutawamalizia hasira mnazotutia malipo yake yanakuja msituletee utetezi hafifu nyie wachaga wabaguzi sana happening kuona wenzenu wa makabila tofauti wanafanikiiwa ngoja sultan wenuuNdugu hilo ni jina tuu likimaanisha watu loyal kwa Mwendazake sii maana ya kabila ni swala la uelewa tuu Bashiru Ally, Humphrey Polepole si wasukuma balk ni watu kindakindaki wa mwendakuzimu. Hoja ya kutishia watu na uchaguzi ujao haina mashiko.
too lateNinaomba ianzishwe campaign/ uzi wa kukataa hilo neno/jina la "Sukuma Gang" maana nchi yetu haikuundwa kwa misingi ya kubaguana.
[emoji23][emoji23]Basically wasukuma wanaonewa bure.
Mwendazake alijivika ngozi ya usukuma kuficha tabia zake mbovu ambazo wasukuma hawanazo.
Ni juu ya wasukuma kukataa waziwazi kuwa Magufuli hakuwa msukuma.
Alichobariki Mungu mwanadamu hawezi kulaani unajisumbua bureMmechelewa kujitetea ngoja Sukuma Gang iwaonyeshe kazi 2025 kwa hakika tutawamalizia hasira mnazotutia malipo yake yanakuja msituletee utetezi hafifu nyie wachaga wabaguzi sana happening kuona wenzenu wa makabila tofauti wanafanikiiwa ngoja sultan wenuu
Tuukatae kuwa hakuwa msukuma Ili iweje sasa, wao waache waite "Sukuma gang" mpaka watajapo choka. Na katika hali ya Kawaida, jina la Sukuma gang haliwezi kudumu bila ya uwepo wa lile jina jingine "Team msoga".Basically wasukuma wanaonewa bure.
Mwendazake alijivika ngozi ya usukuma kuficha tabia zake mbovu ambazo wasukuma hawanazo.
Ni juu ya wasukuma kukataa waziwazi kuwa Magufuli hakuwa msukuma.