Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Mwenyezi mungu akubaliki maana naona umeokoka kweli kwa kuacha siasa za chuki ulizokuwa nazo. Karibu kwenye ulimwengu wetu wa uzalendo ambao hauna upande ila tunashabikia maendeleo ya Tanzania
 
Hilo neno limepigiwa chapuo na chadema na wachaga na chama chao cha chaga propaganda.

Chadema wanajitahidi sana kupakazia watu ukabila wanasahau kua chama chao cha kikabila ndio kinara wa ukabila.
 
Hilo neno lilitoholewa toka twitter, likapata airtime ya kutosha jf, sasa linafahamika Tanzania nzima.

Japo umesema wapo wasukuma waliopata maumivu enzi za mwendazake hasa wavuvi, lakini pia wengi wao walipendelewa sana.

Kama wale waliojenga kwenye hifadhi ya uwanja wa ndege walipotaka kuvunjiwa akasema wasivunjiwe coz walimpigia kura, kama vile hakupigiwa kura toka sehemu nyingine yoyote Tanzania isipokuwa Mwanza pekee.
Hata ukiwachukia wasukuma huna cha kuwafanya your are almost nothing mbele ya macho yao ndiyo maana wanaishia kukupuuza tu.
 
Ndugu hilo ni jina tuu likimaanisha watu loyal kwa Mwendazake sii maana ya kabila ni swala la uelewa tuu Bashiru Ally, Humphrey Polepole si wasukuma balk ni watu kindakindaki wa mwendakuzimu. Hoja ya kutishia watu na uchaguzi ujao haina mashiko.
 
Akili zao zinatosha tu kupiga kura, warudi kuchunga Ng'ombe sio kuongoza nchi

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
2020 tumemstaafisha mwenyekiti wenuuu saa hz anarusha rusha miguu ngoja mama ammalizie hafu unawadharau vipi watu wanaopenda vinono tatizo la makabila ya wachaga walifikiri wao ndio wangesoma pekee yao lkn ndugu mambo yanabadilika wasukuma wameshikilia nchi saa hz wamejaa kila pahala kimsingi wanajitambua hawaburuziki tena kwa sasa ni matajiri, wasomi, viongozi wakubwa, wafugaji matajiri wa madini na samaki unadhani leo Tanzania tungejitenga huoni kwamba wasukuma ndio wangekuwa matajiri zaidi yaani wewe tuna dhahabu almasi maziwa aardhi yenye rutuba nk
 
Ninaomba ianzishwe campaign/ uzi wa kukataa hilo neno/jina la "Sukuma Gang" maana nchi yetu haikuundwa kwa misingi ya kubaguana.
 
Ndugu hilo ni jina tuu likimaanisha watu loyal kwa Mwendazake sii maana ya kabila ni swala la uelewa tuu Bashiru Ally, Humphrey Polepole si wasukuma balk ni watu kindakindaki wa mwendakuzimu. Hoja ya kutishia watu na uchaguzi ujao haina mashiko.
Mmechelewa kujitetea ngoja Sukuma Gang iwaonyeshe kazi 2025 kwa hakika tutawamalizia hasira mnazotutia malipo yake yanakuja msituletee utetezi hafifu nyie wachaga wabaguzi sana happening kuona wenzenu wa makabila tofauti wanafanikiiwa ngoja sultan wenuu
 
Basically wasukuma wanaonewa bure.
Mwendazake alijivika ngozi ya usukuma kuficha tabia zake mbovu ambazo wasukuma hawanazo.

Ni juu ya wasukuma kukataa waziwazi kuwa Magufuli hakuwa msukuma.
[emoji23][emoji23]
 
Mimi binafsi haliniumizi kwa lolote, as long as mimi ni msukuma pure.
 
2025 kama hii migawanyo ya kikabila wanaoishamilisha itadumu ndio watujua kuwa HAWAJUI. Anyway hawa ni wana siasa wachumia tumbo tu. Watashangiliwa kwa nje na kunyoshwa kwenye sanduku la kura.
Kuna msemo usukumani
"Nakula kwako nalala kwa...
 
Mmechelewa kujitetea ngoja Sukuma Gang iwaonyeshe kazi 2025 kwa hakika tutawamalizia hasira mnazotutia malipo yake yanakuja msituletee utetezi hafifu nyie wachaga wabaguzi sana happening kuona wenzenu wa makabila tofauti wanafanikiiwa ngoja sultan wenuu
Alichobariki Mungu mwanadamu hawezi kulaani unajisumbua bure
 
Basically wasukuma wanaonewa bure.
Mwendazake alijivika ngozi ya usukuma kuficha tabia zake mbovu ambazo wasukuma hawanazo.

Ni juu ya wasukuma kukataa waziwazi kuwa Magufuli hakuwa msukuma.
Tuukatae kuwa hakuwa msukuma Ili iweje sasa, wao waache waite "Sukuma gang" mpaka watajapo choka. Na katika hali ya Kawaida, jina la Sukuma gang haliwezi kudumu bila ya uwepo wa lile jina jingine "Team msoga".

Namaanisha Ili jina la Sukuma gang lipotee, basi hangaikeni pia kulipoteza like la Team msoga. Simple tu.
 
Back
Top Bottom