Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Kama halikukemewa kipindi kile why now let it be there Sukuma gang walibagua watu wengine. Hata Gwajiboy alishikwa na kuhujiwa juju bila serikali kutoa karipio kubwa lililostahili. Kwa nini sasa unaona ni tatizo kuliko waliolianzisha? Waache watu watoe dukuduku lao ili iwe fundisho kwa kabila lolote kutotumia karata hiyo tena. iwe mwiko. Naona mkuki kwa nguruwe kwa mwanadamu mchungu.
 
Nyie wachaga mna wivu sana tena wa kijinga lkn ndio hivyo wote saa hz ni wajanja tutaigawana kisawasawa keki ya Taifa
Aliyetangulia katangulia tu
Unaweza kufananisha literacy rate yenu na Yao? Kama choo tu hamchimbi hadi mletewe kampeni ya nyumba ni choo
 

Wewe sema hilo neno limeasisiwa na Kigogo (M/Kiti Kivuli wa CHADEMA) Twitter.
 
Mkuu ningeweza kulike hii comment mara mia.CHADEMA wanafurahia sana umaarufu wanaopewa na Kigogo huko twitter wanachosahau 2025 huyo Kigogo hatokuja Usukumanj kuwaombea kura,pengine wameridhika na Siasa za twitter na ndizo zitawapatia ushindi kwenye uchaguzi Mkuu ujao.

Hapo paragraph ya mwisho ndiyo ukweli wenyewe. Viti Maalum 25 unakuta Wachagga 17.Wewe waache waendelee kuwasimanga Wasukuma,2025 si mbali watakuja,unless wameamua kura za Wasukuma hawazitaki tena.
 

Hata mimi am proud na hili jina kwa sasa,ni kutoka kwa hili jina ndiyo watatuelewa Wasukuma ni kina nani come 2025! Waache waendelee kufuata upepo wa Kigogo kwa sasa.
 
So CCM must go kwa CHADEMA kujinasibisha na siasa za Kigogo vs Wasukuma? Hampo serious bado,kwa mtaji huu sisi Wasukuma ni heri CCM itawale miaka 50 ijayo mpaka pale tutakapopata Chama cha upinzani cha kweli.Tutawapa kura zetu CCM,endeleeni na harakati zenu huko twitter,2025 mtapata majibu sahihi.
 
Wasukuma watawapelekea moto chadema 2025 hadi wakome.

Nmeona hata Mbowe nae anaingia kwenye mtego ule ule wa ubaguzi.

Chadema walivyo wajinga wanawatukana wasukuma huku wakijua bila kanda ya ziwa hawana urais.

Mkuu wewe waache wahangaike na Siasa za twitter,majibu ya Wasukuma watayapata 2025.
 
Basically wasukuma wanaonewa bure.
Mwendazake alijivika ngozi ya usukuma kuficha tabia zake mbovu ambazo wasukuma hawanazo.

Ni juu ya wasukuma kukataa waziwazi kuwa Magufuli hakuwa msukuma.

Yani tumkatae Magufuli kisa tumfurahishe Kigogo na Chadema? Kwanza nani ana shida ya kura kati ya Wasukuma vs CHADEMA,nilidhani ungewashauri CDM wacheze siasa safi na waondoe hii dhana ya kuhusishwa na chuki za Kigogo vs Wasukuma,au wao kura za Wasukuma hawazitaki? JPM alikuwa ni Pure Msukuma and yes we are proud kutoa Rais Msukuma hapa Tanzania.
 
Ndugu hilo ni jina tuu likimaanisha watu loyal kwa Mwendazake sii maana ya kabila ni swala la uelewa tuu Bashiru Ally, Humphrey Polepole si wasukuma balk ni watu kindakindaki wa mwendakuzimu. Hoja ya kutishia watu na uchaguzi ujao haina mashiko.

Wewe ndiyo unaelewa hivyo,lakini Pro CDM wengi wao Wasukuma kwao kwa sasa ni adui yao number moja. Na sisi twasema,hewala,tunawasubiri 2025.
 
Wasukuma tutashirikiana dhidi ya huu udhalilishaji na njia pekee ni kuiadhibu Chadema na mwenyekiti wake

Na ikawe hivyo,2025 Wasukuma tupo sana tu,tutaona kama huyo Kigogo atawasaida CDM kura kutoka SUKUMA LAND.
 

Nashangaa kalikimbia tena,ameona katupa promo ya nguvu. Am Proud to be SUKUMA GANG.Tukutane 2025,watajua hawajui.
 
Tuombe uzima, lakini tukikubali kabisa kwamba Wasukuma tumeletewa watulime na kutufugia sio kutuongoza

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app

Wasukuma wamewatawala,hiyo ni fact,ila Wachagga (CDM) hawatokuja kukalia kiti cha Urais hata kwa dk 5 tu asilani. Hilo pia likukae kichwani. Endeleeni na harakati zenu huko twitter mkiongozwa na M/kiti wenu wa CDM Kigogo.
 
Wasukuma wamewatawala,hiyo ni fact,ila Wachagga (CDM) hawatokuja kukalia kiti cha Urais hata kwa dk 5 tu asilani. Hilo pia likukae kichwani. Endeleeni na harakati zenu huko twitter mkiongozwa na M/kiti wenu wa CDM Kigogo.
Bila hofu na Wachaga Tunataka Maendeleo tu kuliko Madaraka. Angalia tulivyoikamata Mwanza, sasa akitokea baradhuli mwingine si wataanza kampeni tusiuziwe viwanja

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2015 CHADEMA walipata viti 4 kati ya 6 vya Ubunge mkoani MARA lakini MARA hawakupewa mbunge hata mmoja wa viti maalum.

Na mwaka huo wa 2015 nilikuwa Kilosa, wanawake walijituma sana kupambania CHADEMA tena kwa mkoa wa Morogoro ambao haukuwahi kutoa mbunge wa upinzani lakini CHADEMA wakapata viti 3. Lakini cha kushangaza viti maalum anaewakilisha Morogoro akateuliwa mchagga Joyce Minja wakati huo alikuwa Ripota wa ITV kutokea Morogoro. Wale wanawake wa CHADEMA Morogoro wakatupwa.

Hawa watu kuwa nao makini. Cheka nao lakini ukiwa na akili zako kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…