Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Kama mbwa anaweza kuandika JF na wewe ukasoma na kujibu basi na wewe Corticopontine ni MBWAMqgufuli ni msukuma amewatesa na ataendelea kuwatesa majizi mbwa nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mbwa anaweza kuandika JF na wewe ukasoma na kujibu basi na wewe Corticopontine ni MBWAMqgufuli ni msukuma amewatesa na ataendelea kuwatesa majizi mbwa nyie
Huna unachojua,endelea na shughuli zako na upumbavu wakoNikuwekee ripoti hapa? Wingi wenu hauna tija mimba za utotoni lake zone, umaskini lake zone,nyumba za nyasi lake zone WINGI SII HOJA waswahili walishanena
Kama halikukemewa kipindi kile why now let it be there Sukuma gang walibagua watu wengine. Hata Gwajiboy alishikwa na kuhujiwa juju bila serikali kutoa karipio kubwa lililostahili. Kwa nini sasa unaona ni tatizo kuliko waliolianzisha? Waache watu watoe dukuduku lao ili iwe fundisho kwa kabila lolote kutotumia karata hiyo tena. iwe mwiko. Naona mkuki kwa nguruwe kwa mwanadamu mchungu.Nipo natafakari namna nchi hii imekuwa, hakuna jambo baya kama kumtambua mtu na kumponda kwa kutumia kiashiria cha kabila lake.
Hivi karibuni kumezuka tabia ya watumiaji wa mitandao hasa katika maswala ya kisiasa kutumia neno SUKUMA GANG kama utambulisho wa watu fulani waliokuwa wanafanya kazi kwa karibu na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli.
Binafsi neno hili naona linaweza leta matatizo ya kijamii kama ambavyo maneno Intarahamwe, facism, na mengine ya namna hiyo yalivyopelekea matatizo kwenye jamii
Hivyo kutokana na neno hili kuwa na mlengo wa kibaguzi na chuki ni heri mamlaka kupiga marufuku matumizi ya neno hili pia niwaombe wahusika wanaotumia neno hili kuacha mara moja.
Aliyetangulia katangulia tuNyie wachaga mna wivu sana tena wa kijinga lkn ndio hivyo wote saa hz ni wajanja tutaigawana kisawasawa keki ya Taifa
Hilo neno lilitoholewa toka twitter, likapata airtime ya kutosha jf, sasa linafahamika Tanzania nzima.
Japo umesema wapo wasukuma waliopata maumivu enzi za mwendazake hasa wavuvi, lakini pia wengi wao walipendelewa sana.
Kama wale waliojenga kwenye hifadhi ya uwanja wa ndege walipotaka kuvunjiwa akasema wasivunjiwe coz walimpigia kura, kama vile hakupigiwa kura toka sehemu nyingine yoyote Tanzania isipokuwa Mwanza pekee.
Bora wewe mpinzani mwenzao umenena, mi pia nililichukia lakini sasa nimelizoea, naona limekaa poa, litaimarisha umoja wa wasukuma na kuwa na common objectives. Kwa Hiyo wasukuma kama kabila kiongozi ndo watakua waamuzi wa vitu vingi vya msingi. Asante mlio tuletea hilo jina. Endeleeni kutuunganisha.
Wasukuma watawapelekea moto chadema 2025 hadi wakome.
Nmeona hata Mbowe nae anaingia kwenye mtego ule ule wa ubaguzi.
Chadema walivyo wajinga wanawatukana wasukuma huku wakijua bila kanda ya ziwa hawana urais.
Basically wasukuma wanaonewa bure.
Mwendazake alijivika ngozi ya usukuma kuficha tabia zake mbovu ambazo wasukuma hawanazo.
Ni juu ya wasukuma kukataa waziwazi kuwa Magufuli hakuwa msukuma.
Akili zao zinatosha tu kupiga kura, warudi kuchunga Ng'ombe sio kuongoza nchi
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Ndugu hilo ni jina tuu likimaanisha watu loyal kwa Mwendazake sii maana ya kabila ni swala la uelewa tuu Bashiru Ally, Humphrey Polepole si wasukuma balk ni watu kindakindaki wa mwendakuzimu. Hoja ya kutishia watu na uchaguzi ujao haina mashiko.
Tuombe uzima, lakini tukikubali kabisa kwamba Wasukuma tumeletewa watulime na kutufugia sio kutuongozaTukutane 2025! Yes tutapiga kura na tutaendelea kuwarudisha huko huko Twitter mkaendelee na harakati zenu
Wasukuma tutashirikiana dhidi ya huu udhalilishaji na njia pekee ni kuiadhibu Chadema na mwenyekiti wake
Yaani wasukuma wamelichukulia vizuri tena sasa hivi wanajiita kwa kujidai kabisa manake limewaunganisha kuwa kitu kimoja. Imekuwa ni kinyume cha matarajio ya aliyelianzisha. Na sasa hivi kigogo mwenyewe halitumii kaona impact imekuwa postive badala ya negative alivyotaka
Tuombe uzima, lakini tukikubali kabisa kwamba Wasukuma tumeletewa watulime na kutufugia sio kutuongoza
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Bila hofu na Wachaga Tunataka Maendeleo tu kuliko Madaraka. Angalia tulivyoikamata Mwanza, sasa akitokea baradhuli mwingine si wataanza kampeni tusiuziwe viwanjaWasukuma wamewatawala,hiyo ni fact,ila Wachagga (CDM) hawatokuja kukalia kiti cha Urais hata kwa dk 5 tu asilani. Hilo pia likukae kichwani. Endeleeni na harakati zenu huko twitter mkiongozwa na M/kiti wenu wa CDM Kigogo.
Mwaka 2015 CHADEMA walipata viti 4 kati ya 6 vya Ubunge mkoani MARA lakini MARA hawakupewa mbunge hata mmoja wa viti maalum.Mkuu ningeweza kulike hii comment mara mia.CHADEMA wanafurahia sana umaarufu wanaopewa na Kigogo huko twitter wanachosahau 2025 huyo Kigogo hatokuja Usukumanj kuwaombea kura,pengine wameridhika na Siasa za twitter na ndizo zitawapatia ushindi kwenye uchaguzi Mkuu ujao.
Hapo paragraph ya mwisho ndiyo ukweli wenyewe. Viti Maalum 25 unakuta Wachagga 17.Wewe waache waendelee kuwasimanga Wasukuma,2025 si mbali watakuja,unless wameamua kura za Wasukuma hawazitaki tena.