Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Nipo natafakari namna nchi hii imekuwa, hakuna jambo baya kama kumtambua mtu na kumponda kwa kutumia kiashiria cha kabila lake.

Hivi karibuni kumezuka tabia ya watumiaji wa mitandao hasa katika maswala ya kisiasa kutumia neno SUKUMA GANG kama utambulisho wa watu fulani waliokuwa wanafanya kazi kwa karibu na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli.

Binafsi neno hili naona linaweza leta matatizo ya kijamii kama ambavyo maneno Intarahamwe, facism, na mengine ya namna hiyo yalivyopelekea matatizo kwenye jamii.

Hivyo kutokana na neno hili kuwa na mlengo wa kibaguzi na chuki ni heri mamlaka kupiga marufuku matumizi ya neno hili pia niwaombe wahusika wanaotumia neno hili kuacha mara moja.
Wakati marehemu na genge lake wanaeneza ukabila ulikuwa wapi? Subiri kwanza tukate mizizi yote ili marehemu abakie kwenye vitabu tu.
 
Wakati marehemu na genge lake wanaeneza ukabila ulikuwa wapi? Subiri kwanza tukate mizizi yote ili marehemu abakie kwenye vitabu tu.
Alikuwa anaenezaje mkuu mbona mimi nilipitwa na hii kampeni ebu nipe brief kidogo alivyokuwa akieneza.
 
Unawasema wachagga vibaya ila sukuma gang ikisemwa unaumia, ubaguzi ni ubaguzi tu sio ukisemwa kwako eti unaumia na kusakizia wengine. Bora hata wachagga ni smart nyie sukuma gang ndo empty set mumefanya madudu na maujinga mengine Hadi aibu, na huyo mungu mtu wetu angeendelea kuwepo angepeleka nchi shimoni kabisa.
Dunia nzima inajua wachaga ni wezi, wana roho mbaya, wabinafsi, wakabila na wamejaa tamaa ya kila kitu.
Karibuni usukumani 2025 na chadema yenu chama cha kichaga na kilutheli. Mmetangaza vita ngumu sana kwenu.
 
Medard KALEMANI-madini
Innocent bashungwa- michezo
Hamis kingwangala- utalii
Jenista mhagama- ajira na Kaz
Katika awa ulotaja ni Kelemani tu ndie msukuma. Tatizo mnafata mkumbo na hakuna mnachojua mnamezeshwa tu chuki kwa wasukuma kwa uongo uongo.
 
Ebu leta data za uchaguzi wa 2020 mkuu tuone mwenda zake alipata kura kiasi gani huko kwa Wachaga.
wachaga ndio kabila pekee wanachaguana wenyewe kwa wenyewe, ndio maana hawajai kuchagua mbunge kabila lingine.
 
Jameni, hivi mbona hatuelewani kwa jambo rahisi namna hii?

Kuna waTanzania wangapi wenye asili ya waChaga hapa nchini?

Ni ushahidi gani ulionao wewe unaoonyesha kwamba watu wote hao "walikuwa wanafaidika na ufisadi wa siku za nyuma..."; ushahidi wa hili kweli unao wewe?
Kwa nini uhusishe matendo ya watu wachache ndicho kiwe kielelezo cha jumuia nzima; kwa nini?
Huko uchagani hakuna wasiokuwa na chochote, kama walivyo waTanzania wengine toka sehemu mbalimbali hapa nchini?

Kwa nini hawa nao uwalaumu, kwa makosa ambayo hawayajui kabisa?

Kwa nini sheria zisiwashughulikie hawa wachache wanaofanya ufisadi bila kujali asili zao ni zipi?

Nini hasa faida inayotokana na kutuweka waTanzania kwenye makundi ya namna hii?

Huoni kwamba nyinyi ndio mnaozidi kuchochea moto wa ufarakano ndani ya taifa hili?

Ninatambua sana msimamo wako unaoambatana na jina lako "magu2016" na aina ya michango unayoweka humu; lakini kuna nyakati inabidi binaadam ujipime kama unayofanya yana manufaa kwenye jamii unayoipigania au yanaongeza tu uchungu na mifarakanyo.

Kwa nini tuzidi kuchochea mifarakanyo, si bora kunyamaza tu!

Wachagga Bwana wakiguswa wanatoa Waraka kabisa na povu kama lote.Ila nyinyi kukejeli Wasukuma ni ruksa si ndiyo.
 
Daah! Basi sawa mkuu.
Bora tufanye siasa za vyama tu hizi za kikabila zitatupeleka pabaya.

Huu mchezo wa Makabila wameuasisi Wachagga especially Pro CHADEMA,kila mara nawaulza,hivi 2025 hawazihitaji kura za Wasukuma? Au ndiyo kampeni zao zitaishia Moshi na Arusha. Wasukuma ni watu poa sana ndiyo maana 2010-2015 waliwahi kuwa na Mbunge Mchagga Jimbo la Ilemela,je Masanja anaweza kwenda kuwa Mbunge Moshi? Twendeni hivyo hivyo kwakuwa hao Wachagga wanajiona ni “wajanja” zaidi kuliko watu wengine na tukutane 2025!
 
Ushawai ona mchaga anachagua kabila lingine limuongoze?

wachaga ni wabaguzi sana na ndio wanaeneza sumu mbaya dhidi ya wasukuma. Yani wao wakiungwa mkono ni demokrasia ila wasukuma wakiungwa mkono ni ukabila. Ndio maana chadema haitakaa itoboe tena usukumani.

Nimewaambia tukutane 2025! CHADEMA karibuni sana Kanda ya Ziwa!
 
Uzuri hamna msukuma atakaa awe raisnwa hii nchi tena. Hata ccm wamejifunza

Hujajibu swali langu,Vipi CHADEMA /Chagga hamuhitaji kura za Wasukuma? Walau Wasukuma wameshika hiyo nafasi,sasa nyinyi Wachagga hata Mbingu ipinduke hamtokaa mtoe Rais wa Nchi wa kutawala hata kwa Week moja pale Ikulu!
 
wasukuma ndio wanaamua nani awe rais au hujui ilo? sasa nyie wachaga wa chadema endeleeni kuwatukana, mtaenda usukumani kuwaomba kura.

Na kwambia hata Mbingu ipinduke,CHADEMA/Chagga kutoboa Kanda ya Ziwa ni ndoto.waache wapige porojo hapa JF,2025 Wasukuma wanafanya yao,CCM mbele kwa mbele miaka 100 ijayo.
 
Bahati nzuri kwetu sote waTanzania, sio wasukuma wote wala wachaga wote waliovilaza kama nyinyi wawili mnaojibishana hapa kama mazuzu.

Unawajua Wasukuma au unawasikia,Ikulu kwa CHADEMA mtaisikia “Viusasa”.Hapa sisi tutaenzi chama cha Mwendazake JPM,yoyote atakaepitishwa na CCM kwa Wasukuma huyo huyo atapigiwa kura tena kwa wingi.
 
Mwasisi wa ukabila ashaondoka tuungane Sasa, Sukuma gang jichanganyeni na watanzania wengine muache ukabila na ukanda.

Hapana twendeni hivi hivi na 2025 Wasukuma tuna jambo letu,Uzuri Kanda ya Ziwa ndiyo huamua nani awe Rais wa Nchi hii.
 
Hujajibu swali langu,Vipi CHADEMA /Chagga hamuhitaji kura za Wasukuma? Walau Wasukuma wameshika hiyo nafasi,sasa nyinyi Wachagga hata Mbingu ipinduke hamtokaa mtoe Rais wa Nchi wa kutawala hata kwa Week moja pale Ikulu!
Unauhakika mimi ni Mchagga?
 
Hapana twendeni hivi hivi na 2025 Wasukuma tuna jambo letu,Uzuri Kanda ya Ziwa ndiyo huamua nani awe Rais wa Nchi hii.
kumbe akili zenu zimejaa matope , eti Kanda ya ziwa uamua Nani awe rais😄😄😄 haipo iyo, kwamba katika wapiga Kura million 15 , Kanda ya ziwa mnawapiga kura million 10. Sukuma gang mnajidanganya , baba yenu ashakufa mabox feki ya Kura hayatakupo tena. Kumbe huko ndo maboksi feki yalijaa mpaka mnajipa confidance kwamba mnaamua nani awe rais.
 
Unauhakika mimi ni Mchagga?

Unakana sasa eeh! Btw njoo ujionee ujenzi wa Daraja la Busisi-Kigongo unavyoendelea. Ahsante Mwendazake JPM Kwa kufanya vitu vyako nyumbani,kumbukumbu yako ya daraja itaishi 100yrs to come.
 
kumbe akili zenu zimejaa matope , eti Kanda ya ziwa uamua Nani awe rais[emoji1][emoji1][emoji1] haipo iyo, kwamba katika wapiga Kura million 15 , Kanda ya ziwa mnawapiga kura million 10. Sukuma gang mnajidanganya , baba yenu ashakufa mabox feki ya Kura hayatakupo tena. Kumbe huko ndo maboksi feki yalijaa mpaka mnajipa confidance kwamba mnaamua nani awe rais.

Uzuri mlishajikatia tamaa,naona mkipiga kampeni Moshi/Arusha peke yake[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unakana sasa eeh! Btw njoo ujionee ujenzi wa Daraja la Busisi-Kigongo unavyoendelea. Ahsante Mwendazake JPM Kwa kufanya vitu vyako nyumbani,kumbukumbu yako ya daraja itaishi 100yrs to come.
Jamaa alikuwa mbinafsi kupindukia. Na fisadi nyangumi kabisa.
 
Walau Wasukuma wameshika hiyo nafasi,sasa nyinyi Wachagga hata Mbingu ipinduke hamtokaa mtoe Rais wa Nchi wa kutawala hata kwa Week moja pale Ikulu!
Majizi tu hamna lolote. Zitto alivyosema nyie ni washamba aliwapatia sana. Hamna cha maana mlichofanya zaidi ya kujenga airport kijijini na kuitia nchi kwenye madeni. Nyie hamna kitu mnaweza zaidi ya kuwa shamba boy
 
Back
Top Bottom