Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Wakati marehemu na genge lake wanaeneza ukabila ulikuwa wapi? Subiri kwanza tukate mizizi yote ili marehemu abakie kwenye vitabu tu.
 
Wakati marehemu na genge lake wanaeneza ukabila ulikuwa wapi? Subiri kwanza tukate mizizi yote ili marehemu abakie kwenye vitabu tu.
Alikuwa anaenezaje mkuu mbona mimi nilipitwa na hii kampeni ebu nipe brief kidogo alivyokuwa akieneza.
 
Dunia nzima inajua wachaga ni wezi, wana roho mbaya, wabinafsi, wakabila na wamejaa tamaa ya kila kitu.
Karibuni usukumani 2025 na chadema yenu chama cha kichaga na kilutheli. Mmetangaza vita ngumu sana kwenu.
 
Medard KALEMANI-madini
Innocent bashungwa- michezo
Hamis kingwangala- utalii
Jenista mhagama- ajira na Kaz
Katika awa ulotaja ni Kelemani tu ndie msukuma. Tatizo mnafata mkumbo na hakuna mnachojua mnamezeshwa tu chuki kwa wasukuma kwa uongo uongo.
 
Ebu leta data za uchaguzi wa 2020 mkuu tuone mwenda zake alipata kura kiasi gani huko kwa Wachaga.
wachaga ndio kabila pekee wanachaguana wenyewe kwa wenyewe, ndio maana hawajai kuchagua mbunge kabila lingine.
 

Wachagga Bwana wakiguswa wanatoa Waraka kabisa na povu kama lote.Ila nyinyi kukejeli Wasukuma ni ruksa si ndiyo.
 
Daah! Basi sawa mkuu.
Bora tufanye siasa za vyama tu hizi za kikabila zitatupeleka pabaya.

Huu mchezo wa Makabila wameuasisi Wachagga especially Pro CHADEMA,kila mara nawaulza,hivi 2025 hawazihitaji kura za Wasukuma? Au ndiyo kampeni zao zitaishia Moshi na Arusha. Wasukuma ni watu poa sana ndiyo maana 2010-2015 waliwahi kuwa na Mbunge Mchagga Jimbo la Ilemela,je Masanja anaweza kwenda kuwa Mbunge Moshi? Twendeni hivyo hivyo kwakuwa hao Wachagga wanajiona ni β€œwajanja” zaidi kuliko watu wengine na tukutane 2025!
 

Nimewaambia tukutane 2025! CHADEMA karibuni sana Kanda ya Ziwa!
 
Uzuri hamna msukuma atakaa awe raisnwa hii nchi tena. Hata ccm wamejifunza

Hujajibu swali langu,Vipi CHADEMA /Chagga hamuhitaji kura za Wasukuma? Walau Wasukuma wameshika hiyo nafasi,sasa nyinyi Wachagga hata Mbingu ipinduke hamtokaa mtoe Rais wa Nchi wa kutawala hata kwa Week moja pale Ikulu!
 
wasukuma ndio wanaamua nani awe rais au hujui ilo? sasa nyie wachaga wa chadema endeleeni kuwatukana, mtaenda usukumani kuwaomba kura.

Na kwambia hata Mbingu ipinduke,CHADEMA/Chagga kutoboa Kanda ya Ziwa ni ndoto.waache wapige porojo hapa JF,2025 Wasukuma wanafanya yao,CCM mbele kwa mbele miaka 100 ijayo.
 
Bahati nzuri kwetu sote waTanzania, sio wasukuma wote wala wachaga wote waliovilaza kama nyinyi wawili mnaojibishana hapa kama mazuzu.

Unawajua Wasukuma au unawasikia,Ikulu kwa CHADEMA mtaisikia β€œViusasa”.Hapa sisi tutaenzi chama cha Mwendazake JPM,yoyote atakaepitishwa na CCM kwa Wasukuma huyo huyo atapigiwa kura tena kwa wingi.
 
Mwasisi wa ukabila ashaondoka tuungane Sasa, Sukuma gang jichanganyeni na watanzania wengine muache ukabila na ukanda.

Hapana twendeni hivi hivi na 2025 Wasukuma tuna jambo letu,Uzuri Kanda ya Ziwa ndiyo huamua nani awe Rais wa Nchi hii.
 
Hujajibu swali langu,Vipi CHADEMA /Chagga hamuhitaji kura za Wasukuma? Walau Wasukuma wameshika hiyo nafasi,sasa nyinyi Wachagga hata Mbingu ipinduke hamtokaa mtoe Rais wa Nchi wa kutawala hata kwa Week moja pale Ikulu!
Unauhakika mimi ni Mchagga?
 
Hapana twendeni hivi hivi na 2025 Wasukuma tuna jambo letu,Uzuri Kanda ya Ziwa ndiyo huamua nani awe Rais wa Nchi hii.
kumbe akili zenu zimejaa matope , eti Kanda ya ziwa uamua Nani awe raisπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ haipo iyo, kwamba katika wapiga Kura million 15 , Kanda ya ziwa mnawapiga kura million 10. Sukuma gang mnajidanganya , baba yenu ashakufa mabox feki ya Kura hayatakupo tena. Kumbe huko ndo maboksi feki yalijaa mpaka mnajipa confidance kwamba mnaamua nani awe rais.
 
Unauhakika mimi ni Mchagga?

Unakana sasa eeh! Btw njoo ujionee ujenzi wa Daraja la Busisi-Kigongo unavyoendelea. Ahsante Mwendazake JPM Kwa kufanya vitu vyako nyumbani,kumbukumbu yako ya daraja itaishi 100yrs to come.
 

Uzuri mlishajikatia tamaa,naona mkipiga kampeni Moshi/Arusha peke yake[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unakana sasa eeh! Btw njoo ujionee ujenzi wa Daraja la Busisi-Kigongo unavyoendelea. Ahsante Mwendazake JPM Kwa kufanya vitu vyako nyumbani,kumbukumbu yako ya daraja itaishi 100yrs to come.
Jamaa alikuwa mbinafsi kupindukia. Na fisadi nyangumi kabisa.
 
Walau Wasukuma wameshika hiyo nafasi,sasa nyinyi Wachagga hata Mbingu ipinduke hamtokaa mtoe Rais wa Nchi wa kutawala hata kwa Week moja pale Ikulu!
Majizi tu hamna lolote. Zitto alivyosema nyie ni washamba aliwapatia sana. Hamna cha maana mlichofanya zaidi ya kujenga airport kijijini na kuitia nchi kwenye madeni. Nyie hamna kitu mnaweza zaidi ya kuwa shamba boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…