Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Dunia nzima inajua wachaga ni wezi, wana roho mbaya, wabinafsi, wakabila na wamejaa tamaa ya kila kitu.
Karibuni usukumani 2025 na chadema yenu chama cha kichaga na kilutheli. Mmetangaza vita ngumu sana kwenu.
Wewe Ni mpuuzi mkuu, wachaga wezi? Vipi escrow,meremeta,nk waliiba wachaga? Ripoti ya C.A.G imetaja ubadhirifu mkubwa ktk serikali ya jiwe vipi Ni wachaga?
Nyie umaskini wenu huko usukumani mnadhani wote Wana akili hizo za u primitive? Msiposoma mtazid kulalamika tu
Kuhusu 2025 vip kipindi cdm inaongoza majimbo kama meatu,maswa, nyamagana nk kulikuwa ni UCHAGANI huko? Wewe ni mpuuzi mno
 
wachaga ndio kabila pekee wanachaguana wenyewe kwa wenyewe, ndio maana hawajai kuchagua mbunge kabila lingine.
Nyie wapanda fisi hamchaguanag wenyewe kwa wenyewe? Mbunge wa meatu ni nan? Shinyanga, kahama nk.? Ficha ujinga
 
Kwahyo kila mchaga ni chadema? Kuna watu akili zenu zinawatosha kupanda fisi tu
 
Na kwambia hata Mbingu ipinduke,CHADEMA/Chagga kutoboa Kanda ya Ziwa ni ndoto.waache wapige porojo hapa JF,2025 Wasukuma wanafanya yao,CCM mbele kwa mbele miaka 100 ijayo.
Hivi Ni kwann ripot ya serikali ya mikoa maskini,mikoa 5 mfululizo Ni ya usukumani?
 
Unawajua Wasukuma au unawasikia,Ikulu kwa CHADEMA mtaisikia “Viusasa”.Hapa sisi tutaenzi chama cha Mwendazake JPM,yoyote atakaepitishwa na CCM kwa Wasukuma huyo huyo atapigiwa kura tena kwa wingi.
Kwan ccm haina wachaga? Mbona wengi tu? Hata DC kahama si ni mchaga ? Pôle kwa chuki
 
Majizi tu hamna lolote. Zitto alivyosema nyie ni washamba aliwapatia sana. Hamna cha maana mlichofanya zaidi ya kujenga airport kijijini na kuitia nchi kwenye madeni. Nyie hamna kitu mnaweza zaidi ya kuwa shamba boy
[emoji3][emoji3][emoji3] zitto alisema tumekabidhi nchi kwa washamba
 
Arusha ina historia ya kuwa na Wabunge kutoka Makabila tofauti, nauliza Moshi kunaweza kuwa na Mbunge kabila jingine achilia mbali Msukuma?
Jafar Michel aliekuwa mbunge wa moshi mbona alikuwa sii mchaga?
 
Ukijibiwa nitag Mkuu,Jimbo la Ilemela lilishawahi ongozwa na Mchagga,je Moshi Masanja anaweza kwenda kuwa Mbunge wao?
Meya wa Moshi Mjini wa sasa Mh. Juma Raibu Juma ni Mchaga? mr gentleman
Mbunge aliyepita wa Moshi mjini Mh. Jafary Michael alikuwa mchaga ewe shamba boy?

Mollel wa Siha ni Mchagga?
 
Kwan ccm haina wachaga? Mbona wengi tu? Hata DC kahama si ni mchaga ? Pôle kwa chuki

But CCM hao hao wawawezi thubutu hata siku moja kumpa Mchagga kupeperusha bendera ya Chama ktk ngazi ya Urais. Na ndipo hapo tunasema CCM na itawale 100yrs. Ikulu mtaisikia Viusasa,ukweli mchungu lakini meza tu ndiyo dawa. Pale Ikulu hamtokaa mtawale hata kwa 24hrs.
 
Hahaha shamba boy ameyeya atakuwa kaenda kupanda fisi zao zile za kishirikina

Sukuma Gang wamewapeleka peleka na hamtokaa msahau! Na nafurahi mpaka sasa JPM anawaendesha akiwa Kaburini wanaume wazima makwapa yanawavuja jasho mkipigana na Mwendazake.
 
Waliyataka na mwendazake wavumile tu, hamna namna inamaana makabila yooote 120 na ushei uongozi na teuzi ilikuwa wao tu Hapana BIG NOOOOOOO jiwe aliharibu mambo sana ,na nawaambia UkWERIIIIIIIII
 
Sukuma Gang wamewapeleka peleka na hamtokaa msahau! Na nafurahi mpaka sasa JPM anawaendesha akiwa Kaburini wanaume wazima makwapa yanawavuja jasho mkipigana na Mwendazake.
Aliwaendsha nyie sio sisi,ndio maana mmebaki kuwa mikoa maskini ilhali alikuwa ikulu
Sisi hatuna shida nae rekodi ya mkoa Bora kwa maendeleo,elimu haikubadilika pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…