Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Waliufyata vipi? Hao ni waandamz hawakuathiriwa na ushamba wa wapanda fisi

“Waandamizi “ my foot! Huo uandamizi ndiyo ulikuwa unamaamuzi gani katika Nchi hii,huo uandamizi uliwasaidia nini wakati miradi inapelekwa Kanda ya Ziwa,jazaneni huko kwenye Uandamizi wakati mkifanyiwa maamuzi na watu wachache na hamna la kufanya. Sukuma Ngang hoyeee[emoji3][emoji3]
 
Eeenh Heee.

Nyamizi, wewe sio mchaga wala sio Msukuma, sasa umejuaje kwamba mimi ni mchaga kama si kihelehele kingi unachoonyesha katika michango yote humu JF?
Umejipambanua kuwa kwenye timu mbovu kabisa ya akina Coccochannel na Jane Lowassa...; hivi mnapeana zamu ya kuja kuweka uchafu wenu humu?
Huyo ni msukuma pure sema kakkulia pale Nzega namjua vizuri sana.
 
Heri uwe mtu wa mitutu kuliko primitive mind ya kupanda fisi

Na Nchi hii itashikiliwa na hao hap Primitive na hamna la kuwafanya. Btw karibu Mwanza twendezetu kigongo ukajionee ujenzi mkubwa kabisa wa JPM Bridge,thamani ya daraja ni zaidiya vibarabara vyote vya lami mbovu mbovu huko kwenu.Sukuma Gang hoyeee[emoji3]
 
Wewe kweli mshamba wa kiwango chá lami,hilo daraja linaunganisha sengerema na mwanza,sisi wilaya zote lami na sii tu wilaya hadi vichochoroni lami, umeme,maji na sii Léo tu ni tangu enz na enzi
Halafu mkoani kwetu Hakuna nyumba ya nyasi hata moja(HATA MOJA) sasa kuja kutufikia sijui Ni karne ya 50 labda
nyie Kwanza makazi bora tu yamewashinda mnalala kwenye mabanda ya nyasi sasa mna ubavu wa ku compète na mkoa ambao ni wa 2 Kitaifa kwa watu wake kuwa na makazi na maisha Bora? Hii Ni kwa mujibu wa nbs
Hebu ona ghorofa hili Lipo tu kijijin(tarakea) wala sio makao makuu ya mkoa
Bank zipo Hadi local areas ambapo Wala sio makao makuu ya wilaya refer nmb himo,tarakea , machame, crdb marangu,machame,tarakea aisee nyie chezeni na chatu tu ndio Fani yenu
tapatalk_1609090029340.jpeg
FB_IMG_16153633075819956.jpeg
 
“Waandamizi “ my foot! Huo uandamizi ndiyo ulikuwa unamaamuzi gani katika Nchi hii,huo uandamizi uliwasaidia nini wakati miradi inapelekwa Kanda ya Ziwa,jazaneni huko kwenye Uandamizi wakati mkifanyiwa maamuzi na watu wachache na hamna la kufanya. Sukuma Ngang hoyeee[emoji3][emoji3]
Miradi kwetu ilishaisha zamani ulishawah sikia shida ya umeme,shule, miundombinu ,afya Kilimanjaro? Hahaga ushamba unawasumbua,sasa mtazd kubaki maskini
 
Wewe kweli mshamba wa kiwango chá lami,hilo daraja linaunganisha sengerema na mwanza,sisi wilaya zote lami na sii tu wilaya hadi vichochoroni lami, umeme,maji na sii Léo tu ni tangu enz na enzi
Halafu mkoani kwetu Hakuna nyumba ya nyasi hata moja(HATA MOJA) sasa kuja kutufikia sijui Ni karne ya 50 labda
nyie Kwanza makazi bora tu yamewashinda mnalala kwenye mabanda ya nyasi sasa mna ubavu wa ku compète na mkoa ambao ni wa 2 Kitaifa kwa watu wake kuwa na makazi na maisha Bora? Hii Ni kwa mujibu wa nbs
Hebu ona ghorofa hili Lipo tu kijijin(tarakea) wala sio makao makuu ya mkoa
Bank zipo Hadi local areas ambapo Wala sio makao makuu ya wilaya refer nmb himo,tarakea , machame, crdb marangu,machame,tarakea aisee nyie chezeni na chatu tu ndio Fani yenuView attachment 1747567View attachment 1747568

Nimekwambia Mkuu kanywe K-Vant au Konyagi kwa Ndeshiro upunguze hasira. Umetoka kwa Sukuma Gang hoja hadi kuniletea picha za “gorofa” kijijini. Sukuma Gang [emoji123][emoji123]
 
Nipo natafakari namna nchi hii imekuwa, hakuna jambo baya kama kumtambua mtu na kumponda kwa kutumia kiashiria cha kabila lake.

Hivi karibuni kumezuka tabia ya watumiaji wa mitandao hasa katika maswala ya kisiasa kutumia neno SUKUMA GANG kama utambulisho wa watu fulani waliokuwa wanafanya kazi kwa karibu na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli.

Binafsi neno hili naona linaweza leta matatizo ya kijamii kama ambavyo maneno Intarahamwe, facism, na mengine ya namna hiyo yalivyopelekea matatizo kwenye jamii.

Hivyo kutokana na neno hili kuwa na mlengo wa kibaguzi na chuki ni heri mamlaka kupiga marufuku matumizi ya neno hili pia niwaombe wahusika wanaotumia neno hili kuacha mara moja.
Mimi hayo maneno yananitatiza sana.

Kwa sababu mimi ni Msukuma niliyempinga sana Magufuli.

Wasukuma ni kama 10% ya nchi, tusilipe kundi fulani jina la kabila wakati watu wa hilo kundi hawafiki hata 1% ya kabila.

Kuna Wasukuma wengi sana hatupendi ujinga wa ukabila.
 
Nipo natafakari namna nchi hii imekuwa, hakuna jambo baya kama kumtambua mtu na kumponda kwa kutumia kiashiria cha kabila lake.

Hivi karibuni kumezuka tabia ya watumiaji wa mitandao hasa katika maswala ya kisiasa kutumia neno SUKUMA GANG kama utambulisho wa watu fulani waliokuwa wanafanya kazi kwa karibu na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli.

Binafsi neno hili naona linaweza leta matatizo ya kijamii kama ambavyo maneno Intarahamwe, facism, na mengine ya namna hiyo yalivyopelekea matatizo kwenye jamii.

Hivyo kutokana na neno hili kuwa na mlengo wa kibaguzi na chuki ni heri mamlaka kupiga marufuku matumizi ya neno hili pia niwaombe wahusika wanaotumia neno hili kuacha mara moja.
Unamaanisha watu waache kutumia neno SUKUMA GANG? kwenye heading ya uzi wako naliona hilo neno ama ni macho yangu yana shida pahala? Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Si jambo jema kumtaja mtu kabila lake, mfano mtu akiniita we mkurya huwa sipendezwi sana....pia nadhani nikama neno litapita tu afta sometime
 
Mifano uliyotoa haiendani na sukuma gang. Intarahamwe ni neno lenye maana sawa na watu wa kuja (wasio wenyeji). Neno hili linatumika kuwataja wanyarwanda waliopo Congo DRC, fascism ni mfumo wa kutawala kimabavu. Sukuma gang linatumika katika kueleza kundi wa wasukuma lililokuwa limemzunguka mwendazake na likiwa na mamlaka ya kujipangia chochote.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wanyarwanda waliyo DRC huitwa Wanyamlenge. Intarahamwe ni jeshi lao ambale linapigana na DRC.
 
Uzuri mtakuja 2025 kuwaomba kura! Au kampeni zenu zitakuwa ni Moshi na Arusha peke yake?
Ku,bukeni Wasukuma wako millioni 10 TZ. Ukiwachukuwa wote, uraisi unao. Na hawa jamaa ukweli hawana neno na mtu, lakini sasa naona mnawaamsha na mtakiona kwenye kura. Si mnataka ubaguzi na kura za kanda. Tafadhali usijaribu kuwasha moto usiyoweza kuuziba. Watatumia wingi wao, na ni CHADEMA itakayoumia! Shauri yenu. Yangu macho na masikio tu!
 
Vasco da Gama haikuleta shida...
Mzee wa msoga haikuletea Shida...
 
Ku,bukeni Wasukuma wako millioni 10 TZ. Ukiwachukuwa wote, uraisi unao. Na hawa jamaa ukweli hawana neno na mtu, lakini sasa naona mnawaamsha na mtakiona kwenye kura. Si mnataka ubaguzi na kura za kanda. Tafadhali usijaribu kuwasha moto usiyoweza kuuziba. Watatumia wingi wao, na ni CHADEMA itakayoumia! Shauri yenu. Yangu macho na masikio tu!

Nadhani hujaelewa nilichomaanisha ndicho hiki unachokisema wewe,nawauliza hao Pro-CHADEMA. wanapowakejeli Wasukuma ni kwamba hawazihitaji kura zao? Je wakija kwa Kampeni na wakaulizwa hizi kejeli zao watajibu nini? Kanda ya Ziwa ndiyo mtaji mkubwa kabisa wa Wanasiasa,CCM wanalijua hili vizuri sana,naona ujuaji wa hawa CHADEMA mitandaoni utakuja kukigharimu Chama mbeleni,waache waendekeze porojo na chuki Binafsi za Kigogo dhidi ya Wasukuma,2025 watalia tena.
 
Back
Top Bottom