Msamii amjibu Baraka the prince

Msamii amjibu Baraka the prince

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Msanii wa muziki na mwalimu wa dance, Msami Giovani
anayefanya vizuri na wimbo wake ‘Step by Step’ amesema
Barakah The Prince bado hana nguvu ya kuwa mume wala
kuwa mchumba wa Najma.

Ametoa kauli hiyo baada ya Barakah kumtukana Msami
baada ya kukoment katika akaunti ya Instagram ya Naj.
Akiongea na E-News ya EATV, Msami alisema, “Kwanza
Barakah ajue Naj sio mke wake, wala mchumba wake ni
boyfriend na girlfriend tu.

Kwahiyo Barakah hana nguvu ya
mume wala mchumba kwa Naj. Kwahiyo hata mtu mwingine
anaweza kuleta fujo na kutupa kete yake. Halafu mie ni
expensive sana kwa Naj watu ambao naweza kurusha kete
yangu kwa watu ambao ni expensive ambao wapo kwenye
level yangu kama mimi.

Naj yupo kwenye level ya Barakah
na mimi nipo kwenye level nyingine kabisa za juu. We
angalia watu wangu awe Uwoya au Kajala, kwahiyo mimi ni
expensive sana.”
 
Kamjibu vizuri sana, baraka ni mshamba sana japo wasukuma wengi wamejanjaruka ila huyu msukuma bado anachanganyikiwa na rangi yani ajiamini kama anaoga nje namfanansha na mshamba flan ambae ukiongea tu na dem wake anakununia
 
Kamjibu vizuri sana, baraka ni mshamba sana japo wasukuma wengi wamejanjaruka ila huyu msukuma bado anachanganyikiwa na rangi yani ajiamini kama anaoga nje namfanansha na mshamba flan ambae ukiongea tu na dem wake anakununia
Hii ilisha nitokea , kazini nika ongea na demu wa jamaa mmoja Afu nilikua nampa Hi tu....nafika kwenye kimeza changu nakutana na sms " oya acha kuongea na demu wangu, naomba tuheshimiane" nika ona huyu jamaa bado ni fala.. Nika mfata ofisini kwake siku taka maelezo nilifika naku mnyanyua naku mtupa kwenye kiti pembeni... Kutaka kumuonyesha uwezo waku mchapia ninao ila ni heshima kati ya kazi na mapenzi.... Kwaio type za baraka da prince..ni nyingi
 
Msami bhuanaa hahahaa kwaiyo uwoya na kajala ndo wanawake Expensive Tanzania? Wanawake walioingiliwa na kila aina ya kambale na utelez wake, hahahaa I see nilikua sijui kwa kweli kwaiyo mwanamke anayeliwa chakula na wanaume Lundo ndio mwanamke expensive! Sio cheapest ..... Huyu bwana ni mwehu kama wehu wengine tu ! Asimcheke mwenzie hata yeye pia mabawa ni "Mshamba" wa mwisho kabisa
 
Angekaa kimya ningemuona wa maana zaidi, na huyu Msami ni msukuma? Nikianza kurejea list ya watu waliotembea na hao malaya wako na kabundle kangu kataisha, yaani hao malaya wako hawana u-expensive wowote maana kuna watu waliotembea nao ambao ni very local. Atleast huyo msukuma mwenzako anatembea na watoto wazuri wasio 'yeboyebo' kama hao kina Menina na Naj
 
Back
Top Bottom