Msamii amjibu Baraka the prince

Msamii amjibu Baraka the prince

Kweli bongo bado watu wengi hawana exposure,nilitegemea huyo msami angesema level yake ni akina Beyonce au kadarshian,yeye ndo kwanza anajisifia kuwa level ya akina sijui nani hao!
 
Kardashian ana uexpensive gani mtu ushawai cheza adi porno kutafuta umarufu
 
Kweli bongo bado watu wengi hawana exposure,nilitegemea huyo msami angesema level yake ni akina Beyonce au kadarshian,yeye ndo kwanza anajisifia kuwa level ya akina sijui nani hao!
Kardashian ana uexpensive gani mtu ushawai cheza adi porno kutafuta umarufu au kwa sababu yupo mbele
 
Hii ilisha nitokea , kazini nika ongea na demu wa jamaa mmoja Afu nilikua nampa Hi tu....nafika kwenye kimeza changu nakutana na sms " oya acha kuongea na demu wangu, naomba tuheshimiane" nika ona huyu jamaa bado ni fala.. Nika mfata ofisini kwake siku taka maelezo nilifika naku mnyanyua naku mtupa kwenye kiti pembeni... Kutaka kumuonyesha uwezo waku mchapia ninao ila ni heshima kati ya kazi na mapenzi.... Kwaio type za baraka da prince..ni nyingi
Wacha wee enhe ikawaje
 
We nae fala! Mimi ningekukata shingo hio.. Mademu wote wamejazana ila unashobokea demu wa jamaa
 
Huyo msami kaeleza vizuri hapo aliposema yeye level za juu, ameharibu alipowataja kina uwoya na kajala,sijaona tofauti kati yao na naj, ingekuwa mtihani wa kiswahili neno moja kwao ningeandika "WAUZA KEI " yaani kajala,uwoya na naj wote msingi kiuno means level moja.
 
Hii ilisha nitokea , kazini nika ongea na demu wa jamaa mmoja Afu nilikua nampa Hi tu....nafika kwenye kimeza changu nakutana na sms " oya acha kuongea na demu wangu, naomba tuheshimiane" nika ona huyu jamaa bado ni fala.. Nika mfata ofisini kwake siku taka maelezo nilifika naku mnyanyua naku mtupa kwenye kiti pembeni... Kutaka kumuonyesha uwezo waku mchapia ninao ila ni heshima kati ya kazi na mapenzi.... Kwaio type za baraka da prince..ni nyingi

Aaaaah co kwmb ww ndo uliyepigwa yan vice versa
 
Msami nae atulie awatazame wanaume wanavyosaka sarafu yeye asubiri kubebeshwa vipochi na mama zake wanaompa usingizi mjini...kanuni aliyoitumia Baraka ya "don't mess up wit' ma B**ch" ndio kanuni sahihi kwa maisha ya wasanii wa bongo wasione umekaa na dubwasha kwa muda mrefu lazima walete zengwe wewe angalia mtoto wa Tandale anavyoandamwa kisa yule mama ake mdogo wabongo wanatamani wamwagane.
 
Kamjibu vizuri sana, baraka ni mshamba sana japo wasukuma wengi wamejanjaruka ila huyu msukuma bado anachanganyikiwa na rangi yani ajiamini kama anaoga nje namfanansha na mshamba flan ambae ukiongea tu na dem wake anakununia
Bado hawajajanjaruka wao kutwa kutembea na redio ya mkulima, kuna msukuma mmoja aliuziwa kiwanja baharini asubuhi wakati maji yamekupwa,jioni kapeleka mafundi il waanze ujenzi akakut maji yamejaa wacha mafundi waanze kumcheka
 
Back
Top Bottom