Msamii amjibu Baraka the prince

Hawa wasanii wetu hawana tofauti kabisaa
 
hahahaaaaa msami kweli kiazi labda angesema anatembea na malaya viwango vya juu,ananyang,anyana na wakubwa kiduchu ngemwelewa

Nauliza tu, hivi hao wa viwango vya juu ni kama kina nani? Kuuliza si ushamba!
 
Juzi nilimponda sana baraka kua ni mshamba kumbe kuna mshamba ambae kamzidi yeye(msami),kanishangaza sana huyu jamaa eti kajala expensive,ovyo kweli hawa jamaa.
Ulitaka uambiwe Ww ndiyo expensive@Nasmapesa
 
Kumbe hata wewe umeona!! Kajala na Uwoya ni wanawake wa kawaida sanaa. Kwanza ni Social Claimers na hawana Class na kichwani ni Empty. Ukisikia wanavyo hojiwa na malengo yao unaweza kutapika. Xha kushangaza kuna wanaume wana waona ni expensive. Qwi Qwi Qwi.....
 
Ndo wakina nani! hao
 
sijaona mwenye afadhali kati yao japo siwajui wote
 
Juzi nilimponda sana baraka kua ni mshamba kumbe kuna mshamba ambae kamzidi yeye(msami),kanishangaza sana huyu jamaa eti kajala expensive,ovyo kweli hawa jamaa.
huyu ndiyo mshamba kuliko Baraka. badala ya kudeal na Baraka anamuattack Naj. sasa kama mjini kuna washamba hivyo huku Namanyere tutakuaje?
 
Hata aliye jibu amejibu ujinga tu.

Yy alitamani demu wa msanii mwenzie (ni dhambi). Issue ya Level ni ushamba tu wa Msami. Mr. Nice, Dudubaya, Ray C, yupo wapi kwa sasa?

Videmu anavyo vitaja vyenyewe ni Full used bora hata Najma!!!
 
Mdogo wangu huyu namuonea huruma sana.. Watanzania au wasanii wengi wa nchi zinazoendelea hawapati elimu juu ya namna ya kuubeba ustaa.. Au hawaishi katika mazingira yanayowafunza namna ya kuishi na umaarufu.. Yupo tempered kirahisi sana..
Baraka akae akijua kwamba hizi media haziwezi kusurvive bila mtu maarufu kufanya kitu fulani. Na wameshamjua kuwa anajaa upepo mapema so watamsumbua sana huyu mtoto ili wapate cha kuandika
 
Kumbe uyo MSAMI nae mshamba hivi

Baraka kula vyako kumbe jamaa ana wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…