Msando Aonya Wanaokataza Watu Kutoa Ushahidi Kwa Tume ya Jaji Lila

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
267
Reaction score
1,014

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando amewataka wananchi wa Ubungo kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo ipo katika Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja.

Soma pia: Tume ya Jaji Lila yaanza kazi, yapewa hadidu tano za kuchunguza wahusika wa ghasia

Akizungumza leo Oktoba 13 jijini Dar es Salaam, Msando pia amewaonya wale wanao kataza wenzao in kwenda kutoa ushahidi kwa Tume ya Jaji Lila na kueleza kufanya hivyo ni kinyume cha sheria na pia wanawanyima wenzao haki yao ya kwenda kutoa ushahidi mbele ya Tume hiyo.

Msando amesema hayo akiwa ofisini kwake na kueleza kuwa kutoa ushahidi mbele ya Tume ya Jaji Lila ni haki ya kikatiba ya kila mmoja.
 
Waste of time and money
Wakimaliza atakadhiwa DPP naye aunde tume yake ya kina Katuga waangalia nani wamuangushie jumba bovu halafu inafika 2030 mama anasepa.
Hilo ndio lengo.
 
View attachment 3690078
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando amewataka wananchi wa Ubungo kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo ipo katika Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja.

Soma pia: Tume ya Jaji Lila yaanza kazi, yapewa hadidu tano za kuchunguza wahusika wa ghasia

Akizungumza leo Oktoba 13 jijini Dar es Salaam, Msando pia amewaonya wale wanao kataza wenzao in kwenda kutoa ushahidi kwa Tume ya Jaji Lila na kueleza kufanya hivyo ni kinyume cha sheria na pia wanawanyima wenzao haki yao ya kwenda kutoa ushahidi mbele ya Tume hiyo.

Msando amesema hayo akiwa ofisini kwake na kueleza kuwa kutoa ushahidi mbele ya Tume ya Jaji Lila ni haki ya kikatiba ya kila mmoja.
Hata ningekuwa mimi ningewakataza vilevile hizo tume zinatupotezea muda na fedha.hizo taarifa zitafanyiwa kazi na nani.tume ya awali tayari ripoti yake iko mezani.je ni mangapi yamefanyiwa kazi?
 
Kwanini wao wenyewe wasiende mitaani kutafuta ushahidi?

Wamekaa ndani na vitambi kwenye kiyoyozi wakisubiri watu waje watoe ushahidi?

Halafu ushahidi gani huo unaohamasishwa.
 
View attachment 3690078
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando amewataka wananchi wa Ubungo kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo ipo katika Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja.

Soma pia: Tume ya Jaji Lila yaanza kazi, yapewa hadidu tano za kuchunguza wahusika wa ghasia

Akizungumza leo Oktoba 13 jijini Dar es Salaam, Msando pia amewaonya wale wanao kataza wenzao in kwenda kutoa ushahidi kwa Tume ya Jaji Lila na kueleza kufanya hivyo ni kinyume cha sheria na pia wanawanyima wenzao haki yao ya kwenda kutoa ushahidi mbele ya Tume hiyo.

Msando amesema hayo akiwa ofisini kwake na kueleza kuwa kutoa ushahidi mbele ya Tume ya Jaji Lila ni haki ya kikatiba ya kila mmoja.
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Sidhani kama kuna wanaokataza watu kwenda kutoa ushahidi. Watu wamechoshwa na hizi tume.
 
Asitake kujifanya kuwa watu hawaendi kwakuwa kuna watu wanawakataza, ukweli ni kuwa hakuna watu wanaenda kutoa ushahidi kwa hiyo tume ya matapeli
 
Mimi sishawishi mtu ila siiamini tume hivo sitotoa maoni yeyote wakatoe uvccm
 
Back
Top Bottom