Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Tume wakijiridhisha kama kuna makosa, wataoa uamuzi kama uchaguzi ufutwe au warekebishe matokeo yaliopo. Maana hata chaguzi ndogo za ubunge na madiwani kuna matokeo yamefutwa na mengine yamerekebishwa. Lakini navyoona mimi, kabla ya kuamua kufuta au la, tume itabidi ikae chini na pande zote mbili wakubaline jinsi ya kutatua swala hilo bila jazba.