Msanii 20% amepotelea wapi?

Msanii 20% amepotelea wapi?

20% ni mmoja ya wasanii wengi wa zamani ambao hawakujiongeza, au kusoma alama za nyakati.

Ni wasanii wenzao wachache tu mfano AY, Mwana FA, Sugu, Prof J, nk. ndiyo wamefanikiwa kujiongeza na pia kusoma hizo alama za nyakati.
Akili na kipaji ni vitu viwili tofauti kabisa, kuwa na kipaji ukakosa akili ni bora ukawa na akili ukakosa kipaji.
Kuna wenye vyote(vipaji/vipaji na akili) sasa hiyo huwa ni bonus.
 
 
 
Back
Top Bottom