Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
- Thread starter
-
- #21
Hahaa tupo pamoja man real recognise realhahaaa..tatizo wewe ulianza kunipa shit"" eti nikasikilize segere "" kama ungenipa profile yake tangu awali"" kuwa ameshafanya Nazi nahao manguli "" wala nisinge thubutu kumvunjia heshima....
ila nilikujibu vile ili na wewe uweze kutambua kuwa katika hii tasnia na mimi nimo"" hahaa
saluteHahaa tupo pamoja man real recognise real
Haaaaaa Akinyele hadi Camron anamjua alimwambia Jay-Z Put it in ya mouth.Siku wakimleta Jeru tha Damaja, au wakimleta Akinyele unisitue.
Pharaoeh monch nimezimiss sana purukushani zake.
Cannabis ndio kawa mwanajeshi ehh
Ni member wa Gangstarr Foundation sema labda hayupo active SanaAfu Rah sio member wa Gangstarr!
Nilikuwa namaanisha sio member wa ile Gangstarr ya kina Guru..Ni member wa Gangstarr Foundation sema labda hayupo active Sana
Kwa hiyo ni member wa Gangstarr ipi???Nilikuwa namaanisha sio member wa ile Gangstarr ya kina Guru..
Kindi la diplomatics namkubali sana Cam'ron hasa kwenye free styleHaaaaaa Akinyele hadi Camron anamjua alimwambia Jay-Z Put it in ya mouth.
I will Akinyele - Meaning I will Put it in ya Mouth.
"Beyonce fiancee, check my 2nd LP
I might bring it back, that's your girl, that's your world
Had the thing, fucking singing bout slinging crack
Mr. Rocafella stop, stop, stop it fella
Still got our acapellas, but I will Akinyele-ya" -You Got luv it(Jay-z Diss Song)
Kwa hiyo ni member wa Gangstarr ipi???
Kuhamasisha watoto wa mtaani wasivute bangi.
Yap Diplomats wapo vizuri.Kindi la diplomatics namkubali sana Cam'ron hasa kwenye free style