Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
- Thread starter
- #21
Hahaa tupo pamoja man real recognise realhahaaa..tatizo wewe ulianza kunipa shit"" eti nikasikilize segere "" kama ungenipa profile yake tangu awali"" kuwa ameshafanya Nazi nahao manguli "" wala nisinge thubutu kumvunjia heshima....
ila nilikujibu vile ili na wewe uweze kutambua kuwa katika hii tasnia na mimi nimo"" hahaa