BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kama picha za models ndani ya swimsuit lakini huyu ana ujauzito. Ni kumbukumbu nzuri sana kwa familia.
mmh tunatofautiana asee mi hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmh tunatofautiana asee mi hapana
Mie mabeste na yule mrs mabeste nawakubali...Hii ndo best couple Tz kwa upande wa wasanii wa bongo flavour.
alikuaje ?Haya ma camera 360 yanadanganya sana huyu dada siku niliyomuona live dah sikuamini
Ha ha mkuu hiyo Rangi na urefu wa kwenye picha tofauti sana alafu ana umbo la migombanialikuaje ?
hahahahaaa, nmekuelewa mkuuHa ha mkuu hiyo Rangi na urefu wa kwenye picha tofauti sana alafu ana umbo la migombani
Kwenye fashion show ni sawa ndio maana zipo kwenye magazine za fashion pekee..Mmm mi kwangu kichefuchefu ptuu
Ataonesha live eneo ambalo atapitishia mtotoHuyu dada sijawahi ona picha yake amevaa chupi / kuacha tumbo wazi ila kaja kufanya hivyo kwenye ujauzito, hii inamaanisha nini? Sipatii picha siku Giggy Money akipata ujauzito, nadhani umeshaelewa kitachotokea[emoji3]
Hahahah 360 si mchezo aisee mi haya mapicha huwaga siyaamini kama ndivyo walivyo..baada ya kumuona lulu na jidee kumbe ni wafupi sana kama watoto.. halaf rangi zao ni kawaida tuuuHaya ma camera 360 yanadanganya sana huyu dada siku niliyomuona live dah sikuamini
Dah kama hao uliowataja ndio kabisa!ushamuona Salama Jabir live?Yaani ni kundi moja dada zake JotiHahahah 360 si mchezo aisee mi haya mapicha huwaga siyaamini kama ndivyo walivyo..baada ya kumuona lulu na jidee kumbe ni wafupi sana kama watoto.. halaf rangi zao ni kawaida tuuu