Msanii Aika wa navykenzo aonesha ujauzito wake

yani watu sikuhizi wanabeba mimba kwa ajili ya Photoshoot....

hii Fashion imewabebesha mimba watu wengi sana
 
Mambo ya chumbani kuyaweka hadharani siyo nzuri hata kidogo. Wasanii mnashusha hadhi ya tasnia.
 
Mmm mi kwangu kichefuchefu ptuu
Kwenye fashion show ni sawa ndio maana zipo kwenye magazine za fashion pekee..

Kutuletea huku unatafuta tu ukakasi

Nyagei
 
Huyu dada sijawahi ona picha yake amevaa chupi / kuacha tumbo wazi ila kaja kufanya hivyo kwenye ujauzito, hii inamaanisha nini? Sipatii picha siku Giggy Money akipata ujauzito, nadhani umeshaelewa kitachotokea[emoji3]
Ataonesha live eneo ambalo atapitishia mtoto
 
Hahahah 360 si mchezo aisee mi haya mapicha huwaga siyaamini kama ndivyo walivyo..baada ya kumuona lulu na jidee kumbe ni wafupi sana kama watoto.. halaf rangi zao ni kawaida tuuu
Dah kama hao uliowataja ndio kabisa!ushamuona Salama Jabir live?Yaani ni kundi moja dada zake Joti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…