Zatara
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 716
- 511
Kwa taarifa zilizorushwa na kituo cha redio Clouds FM ni kwamba mwanamuziki Albert Mangwea amefariki dunia akiwa south Africa.
Taarifa zaidi zitafuatia.
------
Albert Mangwea maarufu kama Ngwair alikua mmoja wa washiriki wa kikundi cha muzika cha Chamber Squad kikiwa na washiriki kama Jeez Mabovu na wengine.
Hapa karibuni amekuwa akihusishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya ingawa haijawahi thibitishwa na ilikuwa ni habari kwa muundo wa 'rumor'.
Alijizolea umaarufu kwa nyimbo kama Mikasi na Nisikilize Mi na nyingine nyingi alizowahi shirikishwa na wasanii kama Professa Jay, Nuru, TID, Chidi Benz n.k.
May he Rest In Peace.