TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

Haya bwana. Ngoja wenye taarifa waje.huko SA alikwenda kwa shughuli za mziki au? RIP Kama ni kweli
 
Nimesikia Clouds FM wakipiga wimbo wake wa mikasi. Sijui kama ulikiwa na uhusiano na kifo chake.
 
Msanii maarufu wa kizazi kipya nchini Albet Mangwea amefariki dunia huko A.Kusini alikolazwa kwa matibabu.source EATV.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.AMINA.
 
Ngoja kwanza nifatilie kwa Uhakika zaidi.
 
Kwa habari zilizotangazwa Clouds Fm kwenye kipindi cha jahazi ni kwamba kijana "ngwea" amefariki leo kule nchini Afrika kusini akiwa hospitalini.
Kilichosababisha kifo hicho bado hakijawekwa wazi, sikiliza clouds fm for more updates.
R.I. P Mangwea.
 
Mzee Ungefunguka zaidi sio wote tupo ktk TV. Kma ni kweli R.I.P mzee wa She got gwan.
 
dah maskini kipenzi changu kwenye hip hop
Mbele yetu nyuma yako
RIP Albert
 
Nasubiri taarifa kamili ili nijue sababu za kifo chake!
 
(Ngwair), amefariki dunia leo akiwa
Afrika Kusini, rafiki anasema
hakuamka toka jana alipolala. taarifa
zaidi zinaendelea kuja
 
Nyie ndo wale mkienda ulaya wiki 2 tu mkirudi mnajifanya mmesahau ndugu zenu!

RIP Mwana East Zooo Ngwea!
Mbona unasema maneno mengi?
Kama na wewe humjui kaa hapa tuambiwe
Kama unamjua nambie basi ni nani nimjue
 
R.I.P Mangwear , nasikia kafa ikiwa usingizini.
 
Back
Top Bottom