Msanii maarufu wa kizazi kipya nchini Albet Mangwea amefariki dunia huko A.Kusini alikolazwa kwa matibabu.source EATV.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.AMINA.
Kwa habari zilizotangazwa Clouds Fm kwenye kipindi cha jahazi ni kwamba kijana "ngwea" amefariki leo kule nchini Afrika kusini akiwa hospitalini.
Kilichosababisha kifo hicho bado hakijawekwa wazi, sikiliza clouds fm for more updates.
R.I. P Mangwea.