mkalimwafrika
Member
- Apr 22, 2013
- 45
- 7
Taarifa zilizonifikia hiv punde ni kuwa albert mangwair hatunaye tena dunian amefia afrika kusini,taarifa zaidi zitasambaa hiv karibuni,rest in peace
Mbona chini ya post yako haijandikwa "SENT FROM MCHINA PHONE"
Ndugu yangu huyo mgogo mwenzangu, apumzike kwa amani kama ni kweli!
Mhhh..Mapenzi ya Mungu
Clauds ndio wanaowafanya wasanii wetu wafe haraka, kazi kubwa mafanikio hamna mwishoni wanakua mateja hata kufa.
Kazi kuwazungusha kwenye fiesta,faida mnachukua nyie wakigoma mnabana njia zote za kutokea.
Laana na iwe juu yenu.
R.I.P kamanda