TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

Taarifa zilizonifikia hiv punde ni kuwa albert mangwair hatunaye tena dunian amefia afrika kusini,taarifa zaidi zitasambaa hiv karibuni,rest in peace

sas yeye bwiy unga had kufa....bas a rest tu bana tupunguz na msako wa wabuy unga
 
Aisee..kwanini vijana wanaisha sasa!!we have to behave guys otherwise tutakwisha
 
Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa.mtu wa karibu anasema walitakiwa kurudi dar leo lakini waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya na M to the P yupo hoi hospitali.
 
Mitungiii...Mikasiii...Misosiii! R.I.P broda
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1369756872224.jpg
    uploadfromtaptalk1369756872224.jpg
    13.7 KB · Views: 168
[h=5]Taarifa Nilizo Pata Kutoka South
Africa Kutoka Kwa Hussein
Original Ambaye Yupo Pretoria
Amesema Ngwear Amefariki Leo

Asubuhi. Alikuwa Ghetto Moja Na
Msanii M To The P.
Walivyokwenda Kuwagongea
Asubuhi Walikuta Ngwear
Amefariki Na M To The P
Amepoteza Fahamu Kabisa. Pia
Daktari Ameshatoa Taarifa Kwa
Watu Wa Karibu Wa Ngwear
Huko South Africa. mtu wa karibu anasema walitakiwa kurudi dar leo lakini waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya na M to the P yupo hoi hospitali.
[/h]
 
Mara tu baada ya kifo hukumu...wema wa mungu wakuvuta uokoke...je wafahamu baada ya kufa utakuwa mgeni wa nan?bila utakatifu hakupo kumwona mungu. Ebr 12:14.
 
Clauds ndio wanaowafanya wasanii wetu wafe haraka, kazi kubwa mafanikio hamna mwishoni wanakua mateja hata kufa.
Kazi kuwazungusha kwenye fiesta,faida mnachukua nyie wakigoma mnabana njia zote za kutokea.
Laana na iwe juu yenu.

R.I.P kamanda
 
Daima nitakukumbuka kwa nyimbo zako.
R.I.P Brother.
 
Last edited by a moderator:
Clauds ndio wanaowafanya wasanii wetu wafe haraka, kazi kubwa mafanikio hamna mwishoni wanakua mateja hata kufa.
Kazi kuwazungusha kwenye fiesta,faida mnachukua nyie wakigoma mnabana njia zote za kutokea.
Laana na iwe juu yenu.

R.I.P kamanda

kula LIKE za kutosha mkuu,!
 
Msanii Albert Mangwea afariki dunia
Msanii wa Bongo Flava Albert Mangwea maarufu sana kama "Ngwair" amefariki dunia leo akiwa Afrika Kusini… Rafiki yake wa karibu sana anasema yakuwa Ngwair hakuamka toka jana alipolala. Story kuhusu kifo cha Mangwea tutawaletea baada ya kutoka taarifa kamili.
R.I.P! Mangwea
 
sijapenda watu wanaoanza kumtwisha lawama za bangi hapa ilihali report ya kifo hujui. na unavyomlaumu hvo we mambo yako hatuyajui basi unaona sifa. sio vizr kabisa. RIP. Mangwea.
 
Inastua sana,
Wana jamvi hali ni mbaya kwa wasanii wengi,inatisha! tulipofikia sioni juhudi za makusudi kuwa saidia hawa vijana.Utumiaji wa madawa ya kulevya ni janga kubwa sasa hivi.
Jamii imepotoka wasanii wamepotoka!
Mangwea ni msanii halisi tumepoteza kipaji.
TUAMUE KWA DHATI KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA.
RIP bingwa wa free style Tanzania.
 
Back
Top Bottom