TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

RIP......
huyu ni kati ya ambao walikuwa wanawaza sana miziki yao, sijui alikuwa anaandika mwenyewe?
siyo kila siku lazima kuimba mapenzi..... hata hizi zilikuwa zina-hit
nilikuwa napenda sana huu wimbo wake
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma habari nyingi katika blog nyingi na ninaisikia hapa Times Fm
http://www.issamichuzi.blogspot.com/2013/05/breaking-nyuzzzz-msanii-wa-bongo.html?m=1
Nilikuwa naomba kama kuna mtu aliyepata ukweli wowote kuhu msanii huyu!
 
Apumzike kwa Amani.

Na sisi tuache kukisia chanzo, tusubiri taarifa kamili yenye ukweli wa chanzo cha kifo.
 
Kifo cha umauti ama kifo chake katika tasnia ya mziki, please fafanua ili watu wachangie maana wengine tunatumia simu za mchina kwa hiyo hatuwezi kufungua hiyo link
 
Drug Overdose

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kifo cha umauti ama kifo chake katika tasnia ya mziki, please fafanua ili watu wachangie maana wengine tunatumia simu za mchina kwa hiyo hatuwezi kufungua hiyo link

Mbona chini ya post yako haijandikwa "SENT FROM MCHINA PHONE"
 
daaaaah .................siamini!!!!!!!!!!!
yani nimeshtuka balaaaaaaaa...................unanihusu sana huu msiba!!!!! daaah!
Rip Albert!

duh mkuu inabidi uhamini tu msiba unatuhusu wengi,nimetoka kuongea na sista ake Neema sasa ivi mchizi amevuta kweli...inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom