TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

Nakumbuka mashindano ya kutafuta bingwa wa free style club bilicanas miaka ya nyuma.Sitasahau jinsi DJ alivyopiga beat iliyokuwa very slow then Ngwear kwa free style kali alivyomponda DJ abadilishe beat na alivyogoma akachana hivyo hivyo hadi akashinda.
RIP NGWEAR!
 
serious jamani

Ukiona hivyo ujue bado info kamili hazijafika zaidi ya hizi information chini;

Msanii wa Bongo Fleva Albert Mangwair a.k.a Ngwair amefariki dunia akiwa nchini Afrika Kusini.
Habari kutoka kwa mtu wa karibu na Rapper Ngwea, aliejitambulisha kwa jina la Hamisi, amesema Ngwea alikua kule kwa mualiko wa kufanya show South Africa, ambapo alikua na msanii mwingine anaeitwa M to the P, na walitakiwa kuondoka leo kurudi Dar saa tatu asubuhi, lakini baada ya kuona hawatokei ndio wakaamua kwenda walipokuwa wamefikia na kuwakuta wote wawili wakiwa hawajielewi baada ya kujidunga madawa ya kulevya mengi (overdose), walipowahishwa hospitali, habari ndio ikawa hivi, kuwa Ngwea amefariki na M to the P yuko hoi hospitali
kuwa mangwear
 
Hussein Original
ambaye yupo
Pretoria amesema
Ngwear na M to
the P ambaye
walikuwa room
moja walitakiwa
kurudi Tanzania
leo wakitokea
Afrika kusini..
Walipowapitia,
waliwakuta
wamezima kwenye
room wote wawili
baada ya kuji
overdose madawa
ya kulevya...
Mpaka sasa M to
the P yupo hoi
katika hospitali ya
St. Hellen huku
msanii Ngwair
akiwa tayari
amekwishaaga
dunia.....


Source: Mpekuzi blog.
 
Naikumbuka night moja Minaki High School alikuja Ngwear na kupiga show ya ukweli sana. Mungu akupumzishe mahali unapostahili.
 
Msanii Albert Mangwea afariki dunia
Msanii wa Bongo Flava Albert Mangwea maarufu sana kama ”Ngwair” amefariki dunia leo akiwa Afrika Kusini… Rafiki yake wa karibu sana anasema yakuwa Ngwair hakuamka toka jana alipolala. Story kuhusu kifo cha Mangwea tutawaletea baada ya kutoka taarifa kamili.
R.I.P! Mangwea
Hope u R.i.p dude, hope u do. Kwani huko kuna kilio na kusaga meno pia.
But my wish for u is to rip.
 
Back
Top Bottom