TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

Hiyo ndo picha yake ya mwisho kuipiga..
Alipiga jana usiku wakat wakula..

Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa.mtu wa karibu anasema walitakiwa kurudi dar leo lakini waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya na M to the P yupo hoi hospitali.
 
Kwenye mitandao ya kijamii hasa FB, taarifa zinasema kifo chake kimesababishwa na madawa ya kulevya.
 
who was he?

we lazima sio mtanzania wala hutoki afrika mashariki, afu hujui neno mikasi lilianzia wapi, wala hujui spidi mia ishirini kwenye kona shaaa, tena huwajui wanaokesha kama cnn,
 
RIP kijana wetu Albert Mangwea.

Muumba amekuchukua ukiwa na umri mdogo mno na hatuwezi kupinga wajibu huo wa Muumba wetu.

Kama kweli madai yanaotolewa kwamba baadhi ya vijana hawa wanamuziki wanabwia unga kiasi cha kuzidisha vipimo na kupelekea kupoteza maisha, basi hili kweli ni janga lingine la kitaifa ambalo limekuwepo kwa miaka mingi.
 
Mungu ndo ajuae anachostahili nasikitikia mchango wake kuharibu vijana hasa kwa wimbo mitungi na mikasi
 
huu wimbo mpaka leo hata sijui alikuwa anasema nini, lol!
mi nilikuwa namkubali sana na huu


Mimi nimepigwa butwaa jamani.
Such a young talented man...
 
Last edited by a moderator:
[h=5]Mjadala mpya kuhusu kifo cha ngwear umeibuka kwenye tweeter baada ya kujitokeza jamaa na kuwaambia baadhi ya waandish waliyotoa taarifa hizo za kifo cha cowbama..!!!
jamaa anaitwa (Daddie Dayyan ""@mL_Eight"" kwny tweeter ameandika kumtumia milladayo
""@millardayo Kaka unajua majibu ya Hospital bado hayajatoka na Ngwair kuzima sio ndio mara ya kwanza, tusubiri majibu ya Daktari"" na baadae akaandika kumtumia ncha kali wa clouds

"Amepelekwa Hospital na mpaka sasa Daktari hajatoa taarifa kuwa amekufa, aliyetoa taarifa kuwa amekufa alishidwa kumuamsha""
[/h]
 
RIP......
huyu ni kati ya ambao walikuwa wanawaza sana miziki yao, sijui alikuwa anaandika mwenyewe?
siyo kila siku lazima kuimba mapenzi..... hata hizi zilikuwa zina-hit
nilikuwa napenda sana huu wimbo wake


Jamani wengine tunatumia simu hizi youtube mbona hazifunguki?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom