TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

huyo aliyebaki akija aende ikulu akapige picha na Kikwete...
 
ha haaa, hiyo wizara ya afya mimi imenipita kushoto kabisaaaaaa
haya tunasubiri ripoti sasa baada ya kuongea udaku
Watu wako wanachuana tu kutupostia 'eti naskia...'
Mara weshasema kuwa hata taarifa ya uthibitisho wa kifo haijatolewa na daktari.
 
millardayo.com Millardayo #AMPLIFAYA OnAiR Madaktari ktk hospitali Ngwea alipofariki
wamethibitisha kwamba na hali ya
M2theP ni mbaya, yuko kwenye
chumba cha mahututi 8:04 p.m. Tue, May 28 11 RETWEETS 2 FAVORITES
 
Last edited by a moderator:
Naomba huo muujiza utokee! nazimia mno uwezo wa Ngwea!
 
millardayo.com Millardayo #AMPLIFAYA OnAiR Madaktari ktk hospitali Ngwea alipofariki
wamethibitisha kwamba na hali ya
M2theP ni mbaya, yuko kwenye
chumba cha mahututi 8:04 p.m. Tue, May 28 11 RETWEETS 2 FAVORITES
 
Last edited by a moderator:
Wasanii wa Tanzania tujifunze kuishi maisha ya uadilifu majanga ya Madawa ya Kulenya sasa imekuwa zaidi ya zaidi, Ray C alikaribia Kufa, Q.Chillah na yeye kaponea tundu la sindano bado kuna msululu mrefu ya wasanii wetu mnatumia madawa ya Kulevya acheni jamani nyinyi ni kioo cha jamii kwa matukio haya jamii mnaifunza nini, kifo ni kifo lakini inategemea umekufaje kwa hili la madawa ya Kulevya sio kifo kizuri ni kifo cha aibu duniani na mbele ya mwenyezi mungu. R.I.P Ngwear.
 
Watu wako wanachuana tu kutupostia 'eti naskia...'
Mara weshasema kuwa hata taarifa ya uthibitisho wa kifo haijatolewa na daktari.
kibongobongo ndo tunavyoenda.......
mpaka dk atakapotokea anakuja tu kuthibitisha watu ambacho walishakisema
 
Back
Top Bottom