Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
HahahaaaaaaHilo vazi halina shida yoyote kijana aendelee tu kukamua ajiingizie mtonyo wajinga ngoja watokwe mapovu Jf.
[emoji106]Ali Kiba ni mwanamuziki,na muziki ni burudani.
Sioni ubaya wowote maana yuko stejini ambako ndiko ofisini kwake.
Binafsi nimeipenda sana,big up Ali Kiba.
Wengine hapa wanatokwa mapovu,wanatoa kejeli kwa Kiba ambaye kwa show moja anaingiza zaidi ya Mil. 15 huku wao walio ofisini (white collar job) wanalipwa laki 3 wanajiona bora!
Huu ni zaidi ya uwendawazimu!
Asante dada kwa kuwachana ,,ukichunguza watanzania wengi wenye vijembe mtandaoni ni wale kula kulala,au kulala kwa shem ,au kama ni kazi analipwa laki 3 kwamwezi alafu anampiga kijembe mtu ambaye yupo ofisini pale anazaidi ya mamilion yake ,,,da aliyetuloga bongo kashaoza kaburiniiAli Kiba ni mwanamuziki,na muziki ni burudani.
Sioni ubaya wowote maana yuko stejini ambako ndiko ofisini kwake.
Binafsi nimeipenda sana,big up Ali Kiba.
Wengine hapa wanatokwa mapovu,wanatoa kejeli kwa Kiba ambaye kwa show moja anaingiza zaidi ya Mil. 15 huku wao walio ofisini (white collar job) wanalipwa laki 3 wanajiona bora!
Huu ni zaidi ya uwendawazimu!
Sawa bilionea panda lee, hapa hatushindashi vipato vyetu wala mali, hapa tuangalie maadili yetu ya kitanzania. Kama kuingiza mtonyo hata Ben Pol kaanika makalio yake na kaingiza mtonyo.Asante dada kwa kuwachana ,,ukichunguza watanzania wengi wenye vijembe mtandaoni ni wale kula kulala,au kulala kwa shem ,au kama ni kazi analipwa laki 3 kwamwezi alafu anampiga kijembe mtu ambaye yupo ofisini pale anazaidi ya mamilion yake ,,,da aliyetuloga bongo kashaoza kaburinii
Hahahaaaaaa kwakweli alishaoza hadi mifupa yake!Asante dada kwa kuwachana ,,ukichunguza watanzania wengi wenye vijembe mtandaoni ni wale kula kulala,au kulala kwa shem ,au kama ni kazi analipwa laki 3 kwamwezi alafu anampiga kijembe mtu ambaye yupo ofisini pale anazaidi ya mamilion yake ,,,da aliyetuloga bongo kashaoza kaburinii