Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Shughuli ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa una akili sana,ndio maana tunashabikia timu moja hahaha.Hii ilikua Sync Battle Mtv Africa kati ya Alli Kiba(Tz) na ndege mnana Simi(Nigeria) simply Alli Kiba akachagua kuimba ngoma ya The late Brenda Fassie(Vulindela kama nimeandika sahihi) ivyo ilabidi avae uhusika kwa kuonekana kama Brenda na mwisho wa battle dogo Alli akaibuka mshindi kama inavyoonekana kwenye picha.
Kama mzee wa wangu marehemu Tx Moshi Williamu alipokua anaimba "Mume wangu kwa nini umeniacha" wakati yeye sio mwanamke ila lengo hadhira imapate ila ladha halisi ya sanaa yake ila kwa kua siku hizi kila kitu kinaangalia kwa kigezo cha timu sishangai watu wakicharurana umu ili kuridhisha nafsi na chuki za upande mmoja nakumbuka hata Joti alishbuliwa kwa kuigiza dada Kiboga ivyo ndivyo tulivyo tabaka la chini tuna furaha kuwananga wenzetu hata kama tunajua Joti sio shoga ila maumivu ya mafanikio yanatulazimisha tumseme tu ili tupate nafuu.
Ubunifu ni muhimu katika sanaa.Hii ilikua Sync Battle Mtv Africa kati ya Alli Kiba(Tz) na ndege mnana Simi(Nigeria) simply Alli Kiba akachagua kuimba ngoma ya The late Brenda Fassie(Vulindela kama nimeandika sahihi) ivyo ilabidi avae uhusika kwa kuonekana kama Brenda na mwisho wa battle dogo Alli akaibuka mshindi kama inavyoonekana kwenye picha.
Kama mzee wa wangu marehemu Tx Moshi Williamu alipokua anaimba "Mume wangu kwa nini umeniacha" wakati yeye sio mwanamke ila lengo hadhira imapate ila ladha halisi ya sanaa yake ila kwa kua siku hizi kila kitu kinaangalia kwa kigezo cha timu sishangai watu wakicharurana umu ili kuridhisha nafsi na chuki za upande mmoja nakumbuka hata Joti alishambuliwa kwa kuigiza dada Kiboga ivyo ndivyo tulivyo tabaka la chini tuna furaha kuwananga wenzetu hata kama tunajua Joti sio shoga ila maumivu ya mafanikio yanatulazimisha tumseme tu ili tupate nafuu ya maumivu yetu BTW ni mtazamo wangu tu wa kawaida kwenye hili kama unapenda huu muziki wa sasa jaribu kuangalia behind the scene za video za hawa wasanii kuna vitu vingi utaviona.
Wewe jamaa una akili sana,ndio maana tunashabikia timu moja hahaha.
Jokes aside,umeongea madini matupu,na asante kwa kuweka rekodi sawa.
Kinachowatoa povu watu hapa ni
1.Utimu
2.Mafanikio
3.Chuki binafsi na roho mbaya.
Word.Hii ilikua Sync Battle Mtv Africa kati ya Alli Kiba(Tz) na ndege mnana Simi(Nigeria) simply Alli Kiba akachagua kuimba ngoma ya The late Brenda Fassie(Vulindela kama nimeandika sahihi) ivyo ilabidi avae uhusika kwa kuonekana kama Brenda na mwisho wa battle dogo Alli akaibuka mshindi kama inavyoonekana kwenye picha.
Kama mzee wa wangu marehemu Tx Moshi Williamu alipokua anaimba "Mume wangu kwa nini umeniacha" wakati yeye sio mwanamke ila lengo hadhira imapate ila ladha halisi ya sanaa yake ila kwa kua siku hizi kila kitu kinaangalia kwa kigezo cha timu sishangai watu wakicharurana umu ili kuridhisha nafsi na chuki za upande mmoja nakumbuka hata Joti alishambuliwa kwa kuigiza dada Kiboga ivyo ndivyo tulivyo tabaka la chini tuna furaha kuwananga wenzetu hata kama tunajua Joti sio shoga ila maumivu ya mafanikio yanatulazimisha tumseme tu ili tupate nafuu ya maumivu yetu BTW ni mtazamo wangu tu wa kawaida kwenye hili kama unapenda huu muziki wa sasa jaribu kuangalia behind the scene za video za hawa wasanii kuna vitu vingi utaviona.
Hapo si hadi liver apoteze na wale middlesbrough wepesi tu.Heeeee heeee umu ukiangalia wengi wetu tumeiona tu hiyo picha na hatuna hata ABC nini kilikua kinaendelea tunaanza kushambulia ili kuponya maumivu yetu,twenzetu jukwaani kwetu kule leo mzee Wenger anaweza kutetea kombe letu la top 4 kama kawaida yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Tofautisha kwanza kati ya The bold muandishi na Kiba mwanamuziki...japo wote ni wanasanaa.Nifah hivi wewe kama wewe unaweza kumuruhusu THE BOLD au mmeo avae kufuri,bra au gauni zako hata mkiwa ndani nyie wawili tu?
Tuanzie hapo kwanza…
Niseme nn???Msanii Ali Kiba alijikuta akivaa nguo za jinsia isiyo yake yaani za kike na kujikuta ametokelezea kama Aunt Asuu, Dan mtoto wa Mama, James Delicious au Bilal Mashauzi.
Ali Kiba kama wengine wanavyomsifia kwa kukata viuno basi alijikuta anazungusha mauno kama Fifi Moto hali iliyopelekea wanaume wakware kupagawa na kujikuta wakimpigia miluzi.
Huyo ndio King Kiba.. Yooooo.... Pop it up
SUPER WOMANTofautisha kwanza kati ya The bold muandishi na Kiba msanii...japo wote ni wanasanaa.
Kama Bold akiandika friction huku akijipa uhusika wa kike ni sawa tu,maana hiyo ndiyo kazi yake.
Na sanaa lengo kuu ni kuburudisha na kuelimisha.
Sasa msanii ni wajibu wake kuchagua moja au yote kwa pamoja.
Period
Hatuwezi kuwa na kipato Sawa ktk jamii.....lkn hio haimanishi uache kumuelekeza anayekuzidi kipato akikosea.Asante dada kwa kuwachana ,,ukichunguza watanzania wengi wenye vijembe mtandaoni ni wale kula kulala,au kulala kwa shem ,au kama ni kazi analipwa laki 3 kwamwezi alafu anampiga kijembe mtu ambaye yupo ofisini pale anazaidi ya mamilion yake ,,,da aliyetuloga bongo kashaoza kaburinii
Kama umechanganya ni Brenda fassieAnamuenzi Vvyone Chakachakaa
...Kama mzee wa wangu marehemu Tx Moshi Williamu alipokua anaimba "Mume wangu kwa nini umeniacha" wakati yeye sio...
Tofautisha Music na Igizo ....mbona joti hamshangai
To me big No!Ali Kiba ni mwanamuziki,na muziki ni burudani.
Sioni ubaya wowote maana yuko stejini ambako ndiko ofisini kwake.
Binafsi nimeipenda sana,big up Ali Kiba.
Wengine hapa wanatokwa mapovu,wanatoa kejeli kwa Kiba ambaye kwa show moja anaingiza zaidi ya Mil. 15 huku wao walio ofisini (white collar job) wanalipwa laki 3 wanajiona bora!
Huu ni zaidi ya uwendawazimu!
Ni kweli Mkuu, stress za RambiRambi na Ubingwa Bubu tuliochukua Yanga.Kama umechanganya ni Brenda fassie
NifaHahahaaaaaa
Utamuoneaje wivu mtu ambaye hampo kwenye kada moja? Musik ni live performance hatuhitaji kuigiza jinsia bhana. Pesa na title zisidhalilishe utu na thamani yetuWewe jamaa una akili sana,ndio maana tunashabikia timu moja hahaha.
Jokes aside,umeongea madini matupu,na asante kwa kuweka rekodi sawa.
Kinachowatoa povu watu hapa ni
1.Utimu
2.Mafanikio
3.Chuki binafsi na roho mbaya.