Msanii Ali Kiba avaa nguo za kike stejini, wanaume wakware wampigia miluzi

Wewe jamaa una akili sana,ndio maana tunashabikia timu moja hahaha.

Jokes aside,umeongea madini matupu,na asante kwa kuweka rekodi sawa.
Kinachowatoa povu watu hapa ni
1.Utimu
2.Mafanikio
3.Chuki binafsi na roho mbaya.
 
Ubunifu ni muhimu katika sanaa.
 
Wewe jamaa una akili sana,ndio maana tunashabikia timu moja hahaha.

Jokes aside,umeongea madini matupu,na asante kwa kuweka rekodi sawa.
Kinachowatoa povu watu hapa ni
1.Utimu
2.Mafanikio
3.Chuki binafsi na roho mbaya.

Heeeee heeee umu ukiangalia wengi wetu tumeiona tu hiyo picha na hatuna hata ABC nini kilikua kinaendelea tunaanza kushambulia ili kuponya maumivu yetu,twenzetu jukwaani kwetu kule leo mzee Wenger anaweza kutetea kombe letu la top 4 kama kawaida yake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Word.
 
Hapo si hadi liver apoteze na wale middlesbrough wepesi tu.
Kwakweli sina imani,ikitokea basi itakuwa bahati ya karne.
Lakini Everton nao sio wa mchezomchezo,dah!
 
Nifah hivi wewe kama wewe unaweza kumuruhusu THE BOLD au mmeo avae kufuri,bra au gauni zako hata mkiwa ndani nyie wawili tu?

Tuanzie hapo kwanza…
Tofautisha kwanza kati ya The bold muandishi na Kiba mwanamuziki...japo wote ni wanasanaa.

Kama Bold akiandika fiction huku akijipa uhusika wa kike ni sawa tu,maana hiyo ndiyo kazi yake.
Na sanaa lengo kuu ni kuburudisha na kuelimisha.
Sasa msanii ni wajibu wake kuchagua moja au yote kwa pamoja.
Period
 
Niseme nn???

Mwanaume kala sketi!? Damn it....

Fid Q alimaliza [HASHTAG]#pesa[/HASHTAG] inapanda thamani ya utu inashuka# sasa uanaume gn huu hata kama ni msanii [emoji21] [emoji21] [emoji21]
 
SUPER WOMAN
 
Hatuwezi kuwa na kipato Sawa ktk jamii.....lkn hio haimanishi uache kumuelekeza anayekuzidi kipato akikosea.

Nakuona ni wale wanaohitaji pesa sio akili ...

Kazingua bhana lzm ukweli usemwe
 
...Kama mzee wa wangu marehemu Tx Moshi Williamu alipokua anaimba "Mume wangu kwa nini umeniacha" wakati yeye sio...

Kwa hiyo TX Moshi (RIP) alivaa nguo za kike kuonesha uhalisia wa uanamke?
 
To me big No!

He's likely to lose all african-based fans..

He's now looking weird on eyes of East african fans as long as we are not used to his current dressing style..
 
Hilo ni shindano maalum kule Mtv ,wiki 2 au 3 zilizopita Vanessa Mdee alitufungulia milango wa Tanzania kwa kushinda shindano hilo. pia alimshinda mnigeria
 
Wewe jamaa una akili sana,ndio maana tunashabikia timu moja hahaha.

Jokes aside,umeongea madini matupu,na asante kwa kuweka rekodi sawa.
Kinachowatoa povu watu hapa ni
1.Utimu
2.Mafanikio
3.Chuki binafsi na roho mbaya.
Utamuoneaje wivu mtu ambaye hampo kwenye kada moja? Musik ni live performance hatuhitaji kuigiza jinsia bhana. Pesa na title zisidhalilishe utu na thamani yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…