Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina Khalifa raia wa Kenya

Yale yale ya mondi madale
 
Wewe inaonekana ni miongoni mwa mliojazana nyumbani kwa Kiba sio.?
 
Hizi ndo mada za wabongo wata comment paka basi ..........mheshimu private life za watu, kua hasi kwa watu walio fanikiwa hatutatomboa haya maisha
Wakati wanaoa tuliwapongeza, tena walitwambie wenyewe hatukuwauliza. Iweje waachane ndo useme tunaingilia maisha yao. Kwanza kwanini wasifanye kimy kama ndo hivo
 

kwa hiyo unaweza kumtafutia Kiba mke? ambae hawataachana?
 
Hii ndilo jiwe, fundisho kwetu wanaume, mke akikorofisha kuleee!....
 
Mbona jamaa kaacha mke kwa swala la kipuuzi sana.
Nadhani hili limetumika kama sababu tu kuna mengi zaidi yaliyo sababisha kuvunjika kwa ndoa yao.
 


Pichaa hii ilipigwa kwenye nyumba ya alikiba sebuleni kings music wakiwa wamelala... band nzima ilikuwa hapo na hapo kuna kama watatatu walikuwa hajarudi....

Anina alipata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…