Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina Khalifa raia wa Kenya

Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina Khalifa raia wa Kenya

Yale yale ya mondi madale
Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina Khalifa raia wa kenya baada ya kushindwa kupata muafaka juu ya ugomvi wao na ndugu wa Alikiba na Mama wa Alikiba.

Ndoa ya King Kiba ilianza kuingia dosari baada ya Amina kutaka ndugu wa Alikiba wakajitafutie maisha yao na wajitegemee jambo ambalo lilizua taharuki na ugomvi mkubwa baini ya ndugu wa Alikiba na Amina..

Amina alidai ni vigumu kuishi na watu wengi vile ndani ya nyumba moja ambapo mpaka wasanii wake wa Kings Music Wanaishi Humo humo, hata kama ni ghorofa na bado kuwe na amani...hivyo alimshauri alikiba awape mitaji wakajitegemee au awapangie nyumba nyingine.....

Hili jambo liliendeleza mgogoro mkubwa hadi Mama Alikiba kuingilia kati na kutaka Alikiba amuache Amina na akadai hapendi hata watoto wa Alikiba wakubwa kuwa pale..
View attachment 1209799
 
Ni ktk kuwaelimisha Watu wajinga wajinga waliopotoka kama wewe .
Wewe ndoa ya Kiba inakuhusu nini? Unataka uolewe wewe?Au alikuwa unaona kuwa huyo mwanamke alikuwa anakuzibia ridhiki???
Tafuta pesa, deal NA maisha yako, achana NA mambo ya kishoga kama hayo.
Wewe inaonekana ni miongoni mwa mliojazana nyumbani kwa Kiba sio.?
 
Hizi ndo mada za wabongo wata comment paka basi ..........mheshimu private life za watu, kua hasi kwa watu walio fanikiwa hatutatomboa haya maisha
Wakati wanaoa tuliwapongeza, tena walitwambie wenyewe hatukuwauliza. Iweje waachane ndo useme tunaingilia maisha yao. Kwanza kwanini wasifanye kimy kama ndo hivo
 
IMG_0101.JPG

Hii ndio list ya ndugu wa Alikiba wanao ishi na Alikiba walio mkimbiza Amina
 
huyu dogo siku anamuwowwa huyu mudada.. nilijisemea kimoyo hii safari haifiki hata DODODMA kwa jini nilivokuwa nikimsoma huyu mdada yaani alionekana kama kalazimishwa kuolewa na kweli hatimae yamekuwa ... wajuzi tunajua
kuangalia.
USHAURI KWA MACHALII.
KOSEA KUJENGA NYUMBA LAKINI USIKOSEE KUOA

kwa hiyo unaweza kumtafutia Kiba mke? ambae hawataachana?
 
Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina Khalifa raia wa kenya baada ya kushindwa kupata muafaka juu ya ugomvi wao na ndugu wa Alikiba na Mama wa Alikiba.

Ndoa ya King Kiba ilianza kuingia dosari baada ya Amina kutaka ndugu wa Alikiba wakajitafutie maisha yao na wajitegemee jambo ambalo lilizua taharuki na ugomvi mkubwa baini ya ndugu wa Alikiba na Amina..

Amina alidai ni vigumu kuishi na watu wengi vile ndani ya nyumba moja ambapo mpaka wasanii wake wa Kings Music Wanaishi Humo humo, hata kama ni ghorofa na bado kuwe na amani...hivyo alimshauri alikiba awape mitaji wakajitegemee au awapangie nyumba nyingine.....

Hili jambo liliendeleza mgogoro mkubwa hadi Mama Alikiba kuingilia kati na kutaka Alikiba amuache Amina na akadai hapendi hata watoto wa Alikiba wakubwa kuwa pale..
View attachment 1209799
Hii ndilo jiwe, fundisho kwetu wanaume, mke akikorofisha kuleee!....
 
IMG_0102.JPG

Pichaa hii ilipigwa kwenye nyumba ya alikiba sebuleni kings music wakiwa wamelala... band nzima ilikuwa hapo na hapo kuna kama watatatu walikuwa hajarudi....

Anina alipata tabu sana
 
Back
Top Bottom