fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,902
- 2,396
Sioni lolote analolifanya zaidi ya majungu na kutembelea nyota za wenzake, tuzo amepata mwambieni atoke nje ya kko na mombasa, mziki wa ghetto tumeuchoka!Najua una mahaba mengi sana kwa mond mkuu ndio maana povu linazid kumwagika ila remember kiba si mtu wa kujikweza yote yanawezeka ila kukuelewesha ww uliyekunywa maji ya kinanda cha mond panakazi kubwa