Msanii Alikiba ameshinda tuzo kubwa nyingine ya Beffta awards Uk

Najua una mahaba mengi sana kwa mond mkuu ndio maana povu linazid kumwagika ila remember kiba si mtu wa kujikweza yote yanawezeka ila kukuelewesha ww uliyekunywa maji ya kinanda cha mond panakazi kubwa
Sioni lolote analolifanya zaidi ya majungu na kutembelea nyota za wenzake, tuzo amepata mwambieni atoke nje ya kko na mombasa, mziki wa ghetto tumeuchoka!
 
Sioni lolote analolifanya zaidi ya majungu na kutembelea nyota za wenzake, tuzo amepata mwambieni atoke nje ya kko na mombasa, mziki wa ghetto tumeuchoka!
Sory mkuu hivi ww me au ke inawezekana ukawa na coz zako za msingi lkn mm nikawa xjui nabisha tu
 
Nyotaaaa!pole yako,hii tuzo ingekuwa imeshachukuliwa na diamond hapo nyuma mmngesema kuwa 'alikiba anapita mule mule alipopita diamond'
Sioni lolote analolifanya zaidi ya majungu na kutembelea nyota za wenzake, tuzo amepata mwambieni atoke nje ya kko na mombasa, mziki wa ghetto tumeuchoka!
 
halafu anacho nifurahisha huyu king kiba hata ashinde matuzo ya kimataifa yy hana majigambo na mbwembwe kupost sijui insta na face book tofauti na wasanii wengine wale
Inategemea na tuzo!!! Mtv mbona kapost then hatujaiona hadi leo!
 
Sioni lolote analolifanya zaidi ya majungu na kutembelea nyota za wenzake, tuzo amepata mwambieni atoke nje ya kko na mombasa, mziki wa ghetto tumeuchoka!
Kiba was there waaaaay befor mondi. Sema boss wako janja janja nyingi ila mpaka views ananunua. Kwa nini hajiamini? Mbona wanigeria wanamtoa sana ikiwemo kumpa tuzo za wilaya
 
Kiba was there waaaaay befor mondi. Sema boss wako janja janja nyingi ila mpaka views ananunua. Kwa nini hajiamini? Mbona wanigeria wanamtoa sana ikiwemo kumpa tuzo za wilaya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Akili za team kiba ndio hizi! Kipi kipya katika tasnia ya bongofleva kilicholetwa na kiba naomba mfano mmoja tu!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Akili za team kiba ndio hizi! Kipi kipya katika tasnia ya bongofleva kilicholetwa na kiba naomba mfano mmoja tu!
Kaleta bongo flavour vs Nigeria flavour hahahah
 
Hivi mwaka huu huyu msanii wetu wa kimataifa amepiga show ngapi nje ya Tz!?
 
Wooooow! Hii tena mnasemaje?Wasanii wote wakubwa Afrika chaliiiii.

Hongera King Ali Kiba,Happy birthday [emoji322] [emoji323] [emoji320] [emoji512]

Hatununui views, hatununui tuzo.

[HASHTAG]#TutaheshimianaTu[/HASHTAG]

cc chige Chinga One The bold
Acha bhana... kumbe mlikuwa mnashangili ushindi huku....!!! Wasanii wakubwa wote chali.... thinking out loudly! Kumbe Kiba sio msanii mkubwa enh!!!!
 
Hongera king, hivi kumbe tuzo ni nzuri eenhe, timu kiba lazima mlambe matapishi yenu wenyewe. Siku nyingine muache kuwa desperate hivyo na mtunze akiba ya maneno, uacheni muda ufanye kazi yake. Hongereni watani zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…