Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Majitu duni na yaliyokosa ufahamu hayaelewi haya. Uswahili ukipitiliza unakuwa ugonjwa. Nyumba ya mtu na kambi ya wakimbizi ni sehemu mbili tofauti
 
Duh, wewe ndio kuwadi wake nini? Haiwezekani unajua yote hayo mkuu
 
KWA kiasi kikubwa sana uko WRONG.
 
Hii sasa kashfa hii doh!
 
Dahh....

Uswahili nomaaa...

Hivi King hakuwa na nyumba!? Kukaa na etxtended family maisha haya mwanamke gani wa kisasa anaweza..!??
 
Dahh....

Uswahili nomaaa...

Hivi King hakuwa na nyumba!? Kukaa na etxtended family maisha haya mwanamke gani wa kisasa anaweza..!??
hiyo ghorofa ya tabata ni yake, ila anakaa na familia yake, na mabwana wa dada zake, yaani majamaa wanakuja kwa kiba kuwakaza dada zake kiba[shemeji]
 
Hahaha.
 
Sio siri WASWAHILI wanashangaza sana kwa USWAHILI wao.
 
Hii Skendo ndo ingekua imetokea kwa familia ya domo,social media kungechafuka balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…