Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Hebu tukumbushe ndoa ya Mond past and present .
 
Bado sijaona Shida ya Amina kuachwa.
Huyo mama nae kwa nini ajipeleke kila weekend,mama mkwe unatakiwa kuimarisha ndoa na sio kuvunja ndoa, unatakiwa kumuelewa mka mwana wako ni mtu wa aina gani , hapendi yepi na sio kuanza kuharibu ndoa ya mwanao.
2. Hilo la ghorofa la Tabata, sioni shida si ni mtoto waliozaa kwa ndoa, eeh anastahili kuandikwa. Hayo mambo sijui kuanguka ni Visa tu vya mama mkwe.
Nawasihi wanaume wenzangu ukisha Oa, msikilize mke 70% mama 25% na ndugu 5%. Wewe mke wako ndo familia yako unsyoimiliki, kule kwa ndugu wewe ni sehemu tu ya familia kama ndugu wengine, hauimiliki ile. na wajibu wako mkuu ni ile familia yako kwanza, na wala usijaribu kubalance kuwa nikimnunulia hiki mke wangu basi nao niwafanyie hiki. Daima mlinde mkeo, mueneshe kuwa yeye ni muhimu kwako na unamthamini.
 
Mmmh wewe huu ushauri wako sio kabisa mkuu yaani wewe utapoteza watu duuh ivi ni wanawake hawa tunaoishi nao au ni wa aina gani unawaongelea wayenfewe hayo unayouasema

Yaani nimsikilize bi mkubwa kwa 25% na yeye nimsikilize kwa 70% aisee maajabu haua labda kama ni mama wa kambo ndo ntafanya ivyo!!
 
Mke alikuwa na sababu ya msingi.
Lakini alikosea kumwambia Kiba awafukuze ndugu zake. Angemshauri wao ndiyo wahame hata kwenda kupanga sehemu nyingine. Mengine yangeendelea kuanzia hapo.
 
Watanzania tuwe na kawaida ya kupenda kujitegemea sio ndugu anauwezo kidogo tayari umeweka makalio yako mpaka ufukuzwe ndo ujue utakiwi...CC: vijana wa DSM walio wengi hasa wazawa.
Hapo roho inapwita kwa mke wakaka anambana kaka yetu asitusaisie
 
Wakina Mama pasua kichwa sana, Mi nilimwambia mama yangu na ndugu zangu mke wangu niachieni mwenyewe na Mke wangu nikamwambia ndugu zangu niachie mwenyewe.
Kila mtu akàye kwenye nafasi yake, mtaongea weee huko sebuleni na ndugu kisha unaingia chumbani na mkeo tu, wao wanabaki kuhesabu masaa pakuche waje kukupa habari nyingine, mipika iwepo
 
Mama wa mke kuwa hapo mwanaye ni rahisi sana kumdhibiti ila mama mkwe utamwambia nini utajibiwa nipo kwa mwanangu nimemzaa mwenyewe wewe umemkuta ana meno 40, hapo utangoea nini, unakuwa mpole
 
Inauma kwa watanzania na waafrika wengi kwa ujumla ila ukweli ni kwamba mambo ya extended family sio ishu bora kama unalea watoto yatima hapo there is no way to escape ila kukaa na ndugu kishamba shamba sio ishu kabisa yani mtu unashindwa kujiachia na bukta au boksa kisa unaogopa raia wapo wengi..
 
Kama ni kweli sawa ila tutashauri baada ya vuguvugu kupita kwanza
 

Huu ndiyo ukweli wenyewe!
Watu waache kumlaumu Ali Kiba na kumkejeli !
Kumbe tatizo ni Yule Amina mke mfuata maslahi!
 
Km mama muhimu kuliko mke muoe

Kila mtu ni muhimu.,wape nafasi inavyostahili
 
Halafu inasemekana Ali Kiba kambunulia bi Amina nyumba huko Mombasa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…