Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,139
- 4,640
Aisee watu muna mambo duh?
Baada ya ndugu wa kiba kujua chumba cha shemeji kipo vacantView attachment 1210841
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya ndugu wa kiba kujua chumba cha shemeji kipo vacantView attachment 1210841
Vyote vyote...yooooooh
Hebu tukumbushe ndoa ya Mond past and present .Mungu alinena "ishi na mwanamke kwa akili"
Alimaanisha kama huna akili usioe!
So ukiona umeoa then ukashindwa kuishi na mkeo, maana yake huna akili
Hii ina maana huyu ndugu yetu Ally K hana akili hata kidogo
Hivyo basi tusishangae hata kwenye muziki kuzidiwa na Mond, sababu ni kwamba ndugu yetu hana akili.
Bado sijaona Shida ya Amina kuachwa.#UDAKU Ngojeni sasa niwaambieni ukweli kabisa kuhusu ndoa ya kiba na Amina kuvunjika, nimeshapata mtu wa ndani kabisa ninaemuamini akanipa habari kamili, kuna sababu 2 tu za ndoa kuvunjika
.
Bwana wee sababu ya KWANZA ambayo pia ndio sababu kubwa ya ndoa hii kuvunjika ni nyumba ya gorofa ilioko tabata, Amina anataka nyumba hiyo ya ghorofa iandikwe jina la mtoto wake, anasema ndio dini inavyo sema eti mtoto anaetambulika ni mtoto wa ndoa, sasa kiba ye hataki na badala yake kamuandika mtoto wake yule mkubwa, ndio ugomvi ulipoanzia hapo
.
Basi mara muda sio mrefu Yule mtoto mkubwa wa kiba ambae ameandikwa kwenye ile nyumba akaanza kuumwa mnooo, mbaya zaidi anaumwa magonjwa ambayo ata hayaeleweki, unaambiwa mtoto mara anaanguka, mara anapandisha hata shule wakamuachisha mtoto, sasa mama kiba pamoja na kiba kufuatilia KUMBE amina ndio anamroga mtoto anataka amuondoe duniani ili mwanae arithi mali mpo hapo[emoji108]
.
Sababu ya PILI ndoa hiyo kuvunjika ni UCHOYO, unaambiwa hawapendi ndugu wa mume hata kidogo, unaambiwa siku akija mama yake mzazi au ndugu zake ataamka asubuhi, ataandaa chai nzito, wageni watakunywa vzur, mchana ataandaaa watakula vzuri, usiku yaani wageni anawakarimu vizuri mnoo, akija mama kiba au ndugu wa kiba akishawasalimia tu huyo anakimbia chumbani kujifungia, mama kiba atajipikia chakula mwenyewe atajihangaikia kila kitu mwenyewe, halafu mnaoshabikia mnasema humo ndani anakaa na mama kiba kumbe ni uongo, mama kiba wala hakai humo ye anaendaga kusalimia tu, mama wa watu anaishi kariakoo kwa taarifa yenu, japo huwa anaenda kila weekend kuwapeleka wajukuu zake wakasalimie
.
Halafu hana mapenzi na watoto wa kiba, yaani hana tyme nao, hata mtoto akiwa anaumwa hata kumcare hakuna sasa huyo ni mwanamke wa kuanae kweli ???
Mmmh wewe huu ushauri wako sio kabisa mkuu yaani wewe utapoteza watu duuh ivi ni wanawake hawa tunaoishi nao au ni wa aina gani unawaongelea wayenfewe hayo unayouasemaBado sijaona Shida ya Amina kuachwa.
Huyo mama nae kwa nini ajipeleke kila weekend,mama mkwe unatakiwa kuimarisha ndoa na sio kuvunja ndoa, unatakiwa kumuelewa mka mwana wako ni mtu wa aina gani , hapendi yepi na sio kuanza kuharibu ndoa ya mwanao.
2. Hilo la ghorofa la Tabata, sioni shida si ni mtoto waliozaa kwa ndoa, eeh anastahili kuandikwa. Hayo mambo sijui kuanguka ni Visa tu vya mama mkwe.
Nawasihi wanaume wenzangu ukisha Oa, msikilize mke 70% mama 25% na ndugu 5%. Wewe mke wako ndo familia yako unsyoimiliki, kule kwa ndugu wewe ni sehemu tu ya familia kama ndugu wengine, hauimiliki ile. na wajibu wako mkuu ni ile familia yako kwanza, na wala usijaribu kubalance kuwa nikimnunulia hiki mke wangu basi nao niwafanyie hiki. Daima mlinde mkeo, mueneshe kuwa yeye ni muhimu kwako na unamthamini.
Hapo roho inapwita kwa mke wakaka anambana kaka yetu asitusaisieWatanzania tuwe na kawaida ya kupenda kujitegemea sio ndugu anauwezo kidogo tayari umeweka makalio yako mpaka ufukuzwe ndo ujue utakiwi...CC: vijana wa DSM walio wengi hasa wazawa.
Kila mtu akàye kwenye nafasi yake, mtaongea weee huko sebuleni na ndugu kisha unaingia chumbani na mkeo tu, wao wanabaki kuhesabu masaa pakuche waje kukupa habari nyingine, mipika iwepoWakina Mama pasua kichwa sana, Mi nilimwambia mama yangu na ndugu zangu mke wangu niachieni mwenyewe na Mke wangu nikamwambia ndugu zangu niachie mwenyewe.
Mama wa mke kuwa hapo mwanaye ni rahisi sana kumdhibiti ila mama mkwe utamwambia nini utajibiwa nipo kwa mwanangu nimemzaa mwenyewe wewe umemkuta ana meno 40, hapo utangoea nini, unakuwa mpoleManeno yako ni kweli hakuna ubishi japo ziko family wameweza. Wanawake kwa asilimia kubwa ni tatizo lakini akija mama ya mke kukaa hapo hakuna shida ila asije mama ya mume ni shida ndio ujuwe shida sio kina mama ni watoto wa kike yaani mke na kina dada ndio shida.
#UDAKU Ngojeni sasa niwaambieni ukweli kabisa kuhusu ndoa ya kiba na Amina kuvunjika, nimeshapata mtu wa ndani kabisa ninaemuamini akanipa habari kamili, kuna sababu 2 tu za ndoa kuvunjika
.
Bwana wee sababu ya KWANZA ambayo pia ndio sababu kubwa ya ndoa hii kuvunjika ni nyumba ya gorofa ilioko tabata, Amina anataka nyumba hiyo ya ghorofa iandikwe jina la mtoto wake, anasema ndio dini inavyo sema eti mtoto anaetambulika ni mtoto wa ndoa, sasa kiba ye hataki na badala yake kamuandika mtoto wake yule mkubwa, ndio ugomvi ulipoanzia hapo
.
Basi mara muda sio mrefu Yule mtoto mkubwa wa kiba ambae ameandikwa kwenye ile nyumba akaanza kuumwa mnooo, mbaya zaidi anaumwa magonjwa ambayo ata hayaeleweki, unaambiwa mtoto mara anaanguka, mara anapandisha hata shule wakamuachisha mtoto, sasa mama kiba pamoja na kiba kufuatilia KUMBE amina ndio anamroga mtoto anataka amuondoe duniani ili mwanae arithi mali mpo hapo[emoji108]
.
Sababu ya PILI ndoa hiyo kuvunjika ni UCHOYO, unaambiwa hawapendi ndugu wa mume hata kidogo, unaambiwa siku akija mama yake mzazi au ndugu zake ataamka asubuhi, ataandaa chai nzito, wageni watakunywa vzur, mchana ataandaaa watakula vzuri, usiku yaani wageni anawakarimu vizuri mnoo, akija mama kiba au ndugu wa kiba akishawasalimia tu huyo anakimbia chumbani kujifungia, mama kiba atajipikia chakula mwenyewe atajihangaikia kila kitu mwenyewe, halafu mnaoshabikia mnasema humo ndani anakaa na mama kiba kumbe ni uongo, mama kiba wala hakai humo ye anaendaga kusalimia tu, mama wa watu anaishi kariakoo kwa taarifa yenu, japo huwa anaenda kila weekend kuwapeleka wajukuu zake wakasalimie
.
Halafu hana mapenzi na watoto wa kiba, yaani hana tyme nao, hata mtoto akiwa anaumwa hata kumcare hakuna sasa huyo ni mwanamke wa kuanae kweli ???
Hajawahi kuoa.Hebu tukumbushe ndoa ya Mond past and present .
Km mama muhimu kuliko mke muoeMmmh wewe huu ushauri wako sio kabisa mkuu yaani wewe utapoteza watu duuh ivi ni wanawake hawa tunaoishi nao au ni wa aina gani unawaongelea wayenfewe hayo unayouasema
Yaani nimsikilize bi mkubwa kwa 25% na yeye nimsikilize kwa 70% aisee maajabu haua labda kama ni mama wa kambo ndo ntafanya ivyo!!
Teh[emoji16]We uko upande wa pili bila shaka. Wasaaaaafi