Msanii aliyepewa tuzo nyingi kwa muda wote

Msanii aliyepewa tuzo nyingi kwa muda wote

Alishawahi Kufika Bongo...! Kituko chake kimoja ni Kuziba pua....Eti Bongo inanuka
Bro..mim nilivyotua bongo from somwea...hakyanan i felt hewa nzito na harufu mbaya...pale airport...na ni tofaut kabisa na unapotua ughaibuni..kwahyo nakubal ni kwel kama michael alisema hvyo..ni kwel kabisaa...wala sio uongo
 
Mawazo ya kimasikini hayo,ndio nyie ambao hua mnajifariji mkiona matajiri,utasikia "Hizo mali ataziacha Duniani"

Nyumba,hela,magari... ni vitu vya kupita ila hakikisha vinapitia na kwako pia.

Masikini wakiona mandinga wanasema ni majeneza.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msiwe mnabisha kila kitu,ni kweli alikuja enzi za mzee ruksa miaka ya mwanzoni90 na aliziba pua kisa mji unanuka
MJ hakuwa mtu wa kuvimba hata kidogo. Hata nyimbo za humanity na misaada katoa sana.

Hata hii stori ya kuziba pua hata mimi nimewahi kuisikia, tenabwapiga soga walisema aligeuza ndege kurudi.

Stori hizi ni uwongo kwasababu picha zipo akiwa na Mwinyi wamekaa.
 
Bro..mim nilivyotua bongo from somwea...hakyanan i felt hewa nzito na harufu mbaya...pale airport...na ni tofaut kabisa na unapotua ughaibuni..kwahyo nakubal ni kwel kama michael alisema hvyo..ni kwel kabisaa...wala sio uongo
We mTz....? Waswahili wana msemo wao...Eti mzarau kwao ni Mtumwa..!
 
MJ hakuwa mtu wa kuvimba hata kidogo. Hata nyimbo za humanity na misaada katoa sana.

Hata hii stori ya kuziba pua hata mimi nimewahi kuisikia, tenabwapiga soga walisema aligeuza ndege kurudi.

Stori hizi ni uwongo kwasababu picha zipo akiwa na Mwinyi wamekaa.
Pua aliziba na kitambaa kama barakoa ila kusema kwamba mji unanuka hakuna ushahidi
 
Ukitaka kujua umuhimu wa pua itoe, pua uliyonayo ipo ilipo kwa makusudi maalum kabisa.. MJ alifanya upasuaji wa pua tena kipindi utaalam bado uko duni. Muda mwingi litakiwa avae mask au kitambaa ili kuzuia madhara katika mfumo wa hewa.

Wabongo kama wabogo wa enzi hizo wakazusha kwamba alivaa sababu nchi inanuka[emoji1][emoji1] na kwa vile wengi kimombo hawakielewi ikabidi wakubaliane na wazushi.

My name is Livingstone= Mimi ni jiwe linalohishi
 
Bro..mim nilivyotua bongo from somwea...hakyanan i felt hewa nzito na harufu mbaya...pale airport...na ni tofaut kabisa na unapotua ughaibuni..kwahyo nakubal ni kwel kama michael alisema hvyo..ni kwel kabisaa...wala sio uongo
Acheni story za kwenye kahawa na alkasusu..

Hizi hapa picha akiwa amevaa mask akiwa ulaya.

Alikuwa ana sababu zake kutokana na surgery , kazi yenu kujitungia tu habari. View attachment 1872627View attachment 1872628
images%20(4).jpg
 
Pua aliziba na kitambaa kama barakoa ila kusema kwamba mji unanuka hakuna ushahidi
Haya hiyo pua aliziba akiwa wapi, maana picha zinaonesha yuko poa tena comfortable kabisa.
1627559738488.png

images (2).jpeg
 
Hizi picha za ikulu,pua alizibar airport punde tu aliposhuka kwenye ndege
MJ ameshatembelea maeneo masikini na machafu kuliko JKN Airport. Check hapa akiwa Brazil tena kwenye poor locations na hoods 👇👇

images (5).jpeg
 
Back
Top Bottom