Msanii anatakiwa kulipwa na Media au yeye ndo alipe

Msanii anatakiwa kulipwa na Media au yeye ndo alipe

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
📌Tuanze na Media za bongo| Media zipo kwa ajili ya kuhabarisha na kuburudisha( maana ake kutoa huduma kwa jamii kutobagua habari ya kufikisha kwa jamii , tukija kwenye burudani hapa Media za bongo kwasasa wimbo wako hausikik kwa Media bila pay au wimbo wako kupata air time bila kutoa pay . Afu tatizo sio pay tatizo ni kuwa na gharama zaid ambavyo umurazimu msanii kuweka bajet kubwa kitu ambacho kinarudisha nyuma maendeleo ya wasanii wachanga ambao wanajitafuta.


Watangazaji wamekuwa wakivimba kwa kuwa wako na nafasi kwenye kwenye Media fulani, bila kutambua watu wanawafuatilia kutokana na watu fulani. Kitu kingine sakata la msanii kulipwa hii nadhani ingesaidia japo nayo haiwezi kosa hasara au matokeo hasi. Maana kutoka kwa msanii itakuwa ngumu sana. Ila kama media inamlipa msanii au club/ kumbi za starehe ingekuwa poa sana nadhani sanaa ingekuwa sana.

..... tumefungua vyombo vya habari kwa nia njema sasa lipokuja swala la mtu fulani kwangu simzungumzii simpi sapoti ni roho mbaya . Kwanini umchukie mtu
Haya ni MAISHA tu leo upo kesho haupo so huwezi jua huyo uliyemnyima nafasi leo ,kesho hatukuja kuwa nani.
Kozi we ni MWANADAMU.
Uwe na siku Njema
Yangu ni hayo tu kwa leo.
Naitwa Kimodomsafi
 
Back
Top Bottom