ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
Msanii Ashanti
Anaitwa Ashanti Sheqouiya Hayles maarufu kama "Ashanti" mwanamuziki mkongwe wa RnB kutoka nchini Marekani. Moja kati ya wanamuziki walioacha alama ya dhahabu katika muziki wa Marekani na dunia. Sauti anayo na sura yake ya kimahaba ndio iliyokuwa inawatoa udenda wengi kutamani kutazama video zake akiimba.
Wakati watoto wa 2000 wakimfahamu Rihanna kama ndio muimbaji bora zaidi wa kike wa kizazi kipya nchini Marekani ila ukweli ni kwamba hapajawahi kutokea bado muimbaji kama huyu dada "Ashanti".
Ashanti anatajwa kama ndio best chorus killer, anaua sana kwenye Chorus na kila nyimbo aliyotia sauti imekuwa hit song.
Ashanti katika viwango vyake kuanzia 2000 mpaka 2015 alitamba mno na kutikisa charts za muziki za Billboard
Ashanti ameolewa na Rapa maarufu duniani "Nelly" na wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume mwaka huu mwezi August ambapo Ashanti amejifungua Mtoto wake huyo wa kwanza akiwa na umri wa miaka 44
Nini kimekushangaza?
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202