Msanii Ashanti

Msanii Ashanti

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
Msanii Ashanti

Anaitwa Ashanti Sheqouiya Hayles maarufu kama "Ashanti" mwanamuziki mkongwe wa RnB kutoka nchini Marekani. Moja kati ya wanamuziki walioacha alama ya dhahabu katika muziki wa Marekani na dunia. Sauti anayo na sura yake ya kimahaba ndio iliyokuwa inawatoa udenda wengi kutamani kutazama video zake akiimba.

Wakati watoto wa 2000 wakimfahamu Rihanna kama ndio muimbaji bora zaidi wa kike wa kizazi kipya nchini Marekani ila ukweli ni kwamba hapajawahi kutokea bado muimbaji kama huyu dada "Ashanti".

Ashanti anatajwa kama ndio best chorus killer, anaua sana kwenye Chorus na kila nyimbo aliyotia sauti imekuwa hit song.

Ashanti katika viwango vyake kuanzia 2000 mpaka 2015 alitamba mno na kutikisa charts za muziki za Billboard

Ashanti ameolewa na Rapa maarufu duniani "Nelly" na wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume mwaka huu mwezi August ambapo Ashanti amejifungua Mtoto wake huyo wa kwanza akiwa na umri wa miaka 44

Nini kimekushangaza?

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
1730369965687.jpg
 
Ashanti alianza kazi kama muandishi wa nyimbo na mara nyingi aliandika chorus. Ikifika kipindi kulikwa na chemistry kati ya Ja rule na Jeniffer lopez, hivyo ashanti ndo alikuwa anaandika chorus atazoimba J lo,

Ila sasa wakati ashanti ameingizia sauti ambayo j lo atazifuatisha katika kurekodi wimbo mpya na Ja Rule. Ndipo recording label ikagundua kuwa sauti yake inaleta harmony nzuri kwa Ja Rule pengine kuliko J lo

Huo ndio ulikuwa mwanzo wa Ashanti kushine.

Lakini pia Ashanti hakuwahi kuonekana kama great singer Ila hit maker na princess of RnB. Kwa sababu mwanzoni mwa miaka ya 2000 nyimbo za ballads ambazo zilihitaji powerful vocals za watu kama whitney, Celine, Mariah, R kelly zilianza kushuka kiumaarufu na hivyo kutoa njia kwa average singers kama Ashanti, Keyshia Cole kufanya vizuri kwa sababu RnB ilizidi kushika kasi..


Kwa hiyo fanya research zaidi mkuu maana kuna data nyingi kama albums, nyimbo kali, awards na hata kuanguka kwake hujaongelea.. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Nashangaa sana dem mzuri kuliwa na bishoo
Na ametokea kumkubali jamaa kuliko mabasha zake wote,though wamekuwa watu wazima sasa.

Nelly ameanza kumkamua huyu mtoto toka 2003 mpaka 2014 wakamwagana mwaka 2023 wakarudiana na zawadi ya mtoto amempa na ndoa juu.
 
Na ametokea kumkubali jamaa kuliko mabasha zake wote,though wamekuwa watu wazima sasa.

Nelly ameanza kumkamua huyu mtoto toka 2003 mpaka 2014 wakamwagana mwaka 2023 wakarudiana na zawadi ya mtoto amempa na ndoa juu.
Tatizo ashanti kitumbua hakijanona,shavu za kutafuta
 
Back
Top Bottom