Poa kakosea kweli, lakini ni wangapi humu ndani na wao wanapicha hizo??? Alimuamini mpenziwe ndio mana.
Hapa mshamba na mkosaji ni huyo mwanaume. I fail to understand wachizi wa aina hii, kwani kama mapenzi imeisha mzee si usepe usome ramani zingine???
Mwisho wa siku utakuja hata taka kutishia chupa, "Ooh nimechukia Soda umeisha haraka na sina hela ingne so ntachofanya naenda Global waambia nimekupiga denda"
Dada Husna ulikosea, na umeshasahihisha. Ila Frank mangi ni aibu yako sasa, na mbaya zaidi hata mamanzi watakusepa.