Msanii atoa wimbo wa 'Mbowe sio Gaidi'

Suala la Mkiti litasababisha baadhi ya wafuasi waanze kuokota makopo! Mhe. Rais ongea na Bwana DPP aangalie kama kuna namna muwatolee mtu wao hawa jamaa (Msameheni tu hata kama alikosa kweli), wanakoelekea siyo kuzuri, Kama Mtanzania inaniuma sana kuona watanzania wenzangu wanazidi kupoteza utimamu kadri siku zinavyoenda...
 
Kwa akili ndogo tu eti ni Mbowe gaidi magufuli angemuacha kweli kwa jinsi alivyokuwa akimuwinda.
 
Baada ya kudai katiba mpya ndo kesi ya ugaidi inaibuka
 
Nimsahihishe muimbaji,hio sio ya kikoloni.
Hio imecopiwa toka China zama za dikteta Mao.Ni katiba ya kutawala watu na sio kuongozea watu.
Ni chakavu kwa kizazi cha sasa
 
Watanzania tunapaswa kuungana kukemea huu upuuzi. Leo amebambikiwa Mbowe kesho itakuwa mama yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…