Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaandika ukiwa unakimbizwa au?Wimbo ndiyo utakaoamia kesi?
Hayo mapambano yanaendelea wapi ?Mapambano yanaendelea mpaka kieleweke, Mbowe sio gaidi!
Ehee tupatie hizo takwimu basiKama huingii mitandaoni huwezi kuona hili
Unacheka leo ila ujue kesho utakuwa unalia kama mwanasesere
Kwa hiyo Dj sasa analia kama mwanasesere?Unacheka leo ila ujue kesho utakuwa unalia kama mwanasesere
Jamaa Huwa na mawenge kichwani huyo ErythrocyteHuyu jamaa asipofikiriwa kacheo pale Ufipa itakuwa ni uonevu mkubwa..
Tengenezeni hata albums 1000, kesi iko pale pale
😁😁😁😁 Dj ajiandae kisaikolijiaInafanya kazi yakwako mlinda kaburi
Sio true boy huyo?Hata baadhi ya watu wakitaka kutunyamazisha basi mawe yataongea.
Wasanii wametoa wimbo wa Mbowe siyo Gaidi.
Wacha tuusikilize ndugu wazaleeendo wenzetu.
View attachment 1985347
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyimbo mbayaaaaaaaaaaaaa.
Kajifunze kiswahili Kwanza ujue tofauti ya "Wimbo na Nyimbo" halafu ndio uje kujua kipi kizuri kipi kibaya.Nyimbo mbayaaaaaaaaaaaaa.
[emoji23]Tusiwarahisishie wazee wa mizengwe
😂😂😂😂Wewe ndiyo unalia kama kibwengo mara baada ya kutoka burigi
Jela inampenda Dj, naona anazidi tu kunona😁😁😁😁Kama Meco aliweza unadhani atashindwa dj?
[emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo Dj sasa analia kama mwanasesere?