Msanii atoa wimbo wa 'Mbowe sio Gaidi'

Msanii atoa wimbo wa 'Mbowe sio Gaidi'

Utafungiwa subiri Maviongozi ya ccm au hutaona unapigwa sehemu yoyote
Unajua, serikali ikitangaza kufungia wimbo huwa ndo inaupa promo? Yaani watu wata download sana na kuusikiliza content, ni bora wapige kimya tu, utachuja wenyewe
 
Terrorist ni gaidi yaani mtu anayetishia au kuogofya watu kwa matendo yake yawe ya kusema, ama kufanya.

Mtu anayesema, damu itamwagika ( Mbowe, akiwa Kinondoni) ni nani?

Mheshimiwa F. T. Sumaye alitaka kugombea uongozi Chadema, ikasemwa aliambiwa na Mtu ,nadhani Free, kuwa sumu haionjwi kwa ulimi. Je ni nani?

Majibu ya maswali haya yatapatikana mahakamani. Tuiache mahakama ifanye kazi yake.
Haya nenda kachukue buku zako 7 lumumba namba 4
 
Unajua, serikali ikitangaza kufungia wimbo huwa ndo inaupa promo? Yaani watu wata download sana na kuusikiliza content, ni bora wapige kimya tu, utachuja wenyewe
Upo sahihi sana
 
Haya nenda kachukue buku zako 7 lumumba namba 4
Ha ha a haaa! Kweli wewe mzoefu hadi namba ya chumba. Inatakiwa Chadema wakague tena credentials zako kwani unaweza kuwa triple agent.
 
Vipi kiongozi imekubali?
Bado mtandao hauko stable. Unaweza kutoka say 270 uka jump mpaka 0. Within second unabadilika badilika tu kwenye range ya 100 mpaka 0. Occasionally ndio unaweza pata namba za mamia.
 
Bado mtandao hauko stable. Unaweza kutoka say 270 uka jump mpaka 0. Within second unabadilika badilika tu kwenye range ya 100 mpaka 0. Ocassionally ndio unaweza pata namba za mamia.
Pole sana
 
Back
Top Bottom